augustino ameri
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 267
- 57
Kwa muungano imara tuwe na nch moja yenye mikoa na rais mmoja.kila seheu ya muungano iwe sawa na sehemu zingine za nchi kiusawa,kusiwe na kutafuta uwakilish/au zamu maana ndiyo chanzo cha matatizo ya sasa,zanz ionekane sawa kama kus,kask nk.mwa tz.