Kwa muungano imara tuwe na rais mmoja,bunge moja na serikali moja.

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
Kwa muungano imara tuwe na nch moja yenye mikoa na rais mmoja.kila seheu ya muungano iwe sawa na sehemu zingine za nchi kiusawa,kusiwe na kutafuta uwakilish/au zamu maana ndiyo chanzo cha matatizo ya sasa,zanz ionekane sawa kama kus,kask nk.mwa tz.
 
United States of Tanzania ( UST)
 
Back
Top Bottom