Kwa mujibu wa Utafiti mwanaume unatakiwa uwe na angalao na kitu kimojawapo kati ya Fedha, Utanashati na Urefu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote

Hi ni kwa mujibu wa Utafiti na maoni ya wataalami wa masuala ya Kijamii

Kwamba kuna vitu vifatu muhimu kwa Mwanamume yeyote duniani ili kuongeza thamani yake na mvuto

Fedha - za kumudu mahitaji yote ya msingi na ziada
Utanashati - Uhandsome
Urefu kuanzia futi 6 kwenda juu

Inashauriwa angalao uwe na kimojawapo Kama siyo kuwa na vyote vitatu

Karibuni tujadili

Niwatakie Jumapili Njema
 
Vyote muhimu ila pesa itakupa utanashati na itakuongezea urefu ukiwa juu ya jeep unawainspire wavivi
 
Wadau hamjamboni nyote

Hi ni kwa mujibu wa Utafiti na maoni ya wataalami wa masuala ya Kijamii

Kwamba kuna vitu vifatu muhimu kwa Mwanamume yeyote duniani ili kuongeza thamani yake na mvuto

Fedha - za kumudu mahitaji yote ya msingi na ziada
Utanashati - Uhandsome
Urefu kuanzia futi 6 kwenda juu

Inashauriwa angalao uwe na kimojawapo Kama siyo kuwa na vyote vitatu

Karibuni tujadili

Niwatakie Jumapili Njema
Mm tayari viwili bado kimoja pesa tu mambo yawe bull bull
 
Nina Futi 5”6
Nina sura ya kawaida
Ninaweza kula milo mitatu baadhi ya cku

Kwahiyo tunaniweka ktk group gani?
 
Back
Top Bottom