G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,880
Rais wa Tanzania ana nguvu sana
1) Yeye ni mwenyekiti wa CCM hivyo akihisi kuwa kunaweza kutokea figisufigisu ndani ya chama anaifukuza sekretarieti ya chama keshamaliza.
2) Akiona mwenyekti wa tume ya uchaguzi hamtangazi kuwa yeye ndiye mshindi kipindi cha uchaguzi mkuu basi anamfukuzia mbali kwakuwa yeye ndiye aliyemteua na hakuna michakato.
Bunge likizingua yeye anaweza kuamka asubuhi na kulivunja ndani ya dakika tano. Nyie mnachukua nusu mwaka? Yeye ndani ya dakika mbili tu anamaliza kazi.