Kwa Mubarak kunazidi kuwaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Mubarak kunazidi kuwaka moto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by regam, Feb 1, 2011.

 1. regam

  regam JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naangalia aljazeera live. Wamisri bado wanazidi kuhamasika na maandamano. Inasadikika wanakaribia milioni moja kwenye viwanja vya tahrir. Madai yao ni kwamba wanataka mubarak angatuke na pia yafanyike mabadiliko ya katiba.
  my take: si lazima watu milion 78 wa misri wameandamana kupinga utawala wa mubarak. Hivyo hata sisi si lazima wooote milioni 40 tuandamane. Kinachotakiwa ni nia tuu na support kwa jambo hili. Hivyo tusiwasikilize baadhi yetu wanaotuvunja moyo kwamba haiwezekani.
   
Loading...