Mleta mada anaulizia zile dalili za awali kabisa kuwa umepata VVU kabla hata ya CD4 kushuka.Niseme kwa ile miezi ya awali kabisa kabla hata ya magonjwa nyemelezi. Kumbuka magonjwa nyemelezi huanza pale CD4 zinaposhuka!!! Na ukumbuke kuwa kama unakula vizuri CD4 zako zinaweza kudumu hata miaka kumi bila kuonesha dalili kabisa ya ukimwi. Cha msingi kwa wale ambao say jana walipata maambukizi je kuna dalili yoyote atakuwa nayo katika mwili wake hasa katika ku-adopt kuwahifadhi foreign agent katika mwili sasa? Maana wanaingia, sidhani kama wanaingia kimya kimya na wakishaingia wanajiweka sawa wanatulia wanaanza kuzaliana na kushambulia kinga ndiyo CD4 zinahusika sasa. Tafadhali wenye uelewa wa mambo haya hebu wasaidie.
HIV hushambulia seli nyingi sana mwilini soon baada ya mtu kupata infection lkn target yake kubwa ni T cells ambayo hujulikana kama CD4 LYMPHOCYTE ama CD4.
HIV huingia mwilini na kwenda kwenye dendritic cells ambapo husafirishwa hadi maeneo ya matukio kwaajili ya kuzaliana. Virus huyu huzaliana kwa hatua zifuatazo, nazo ni binding and fusion, reverse transcription, transcription na mwisho assembly. Budding ndiyo stage ya mwisho kabisa na toka hapo hapo virus huyu huwa amesha tengeneza seli nyingi na hivyo sasa hutoka na kuanza kushambulia seli nyingine mwilini.
mpaka wakati huu mhusika hawez kuwa na dalili yyte ile na wala hatajiskia kama ni mgonjwa. Mtu huanza kujiskia kuwa na tatizo soon baada ya CD4 kupungua na hivyo magonjwa hata yasiyokuwa na sababu hujitokeza.
dalili ya kwanza kwa alio wengi ambayo nimeona mie ni kwa ngozi kupoteza ubora wake na hapo mtu hupata harara ndogo ndogo sana kama vile vijipele vya joto. hii ni dalili ya kuwa tayari CD4 zimeshaanza kupungua hata kama huumwi chochote na unawez kutumia dawa vikapoa lkn vikajirudia tena.
HIV hushambulia seli nyingi sana mwilini soon baada ya mtu kupata infection lkn target yake kubwa ni T cells ambayo hujulikana kama CD4 LYMPHOCYTE ama CD4.
HIV huingia mwilini na kwenda kwenye dendritic cells ambapo husafirishwa hadi maeneo ya matukio kwaajili ya kuzaliana. Virus huyu huzaliana kwa hatua zifuatazo, nazo ni binding and fusion, reverse transcription, transcription na mwisho assembly. Budding ndiyo stage ya mwisho kabisa na toka hapo hapo virus huyu huwa amesha tengeneza seli nyingi na hivyo sasa hutoka na kuanza kushambulia seli nyingine mwilini.
mpaka wakati huu mhusika hawez kuwa na dalili yyte ile na wala hatajiskia kama ni mgonjwa. Mtu huanza kujiskia kuwa na tatizo soon baada ya CD4 kupungua na hivyo magonjwa hata yasiyokuwa na sababu hujitokeza.
dalili ya kwanza kwa alio wengi ambayo nimeona mie ni kwa ngozi kupoteza ubora wake na hapo mtu hupata harara ndogo ndogo sana kama vile vijipele vya joto. hii ni dalili ya kuwa tayari CD4 zimeshaanza kupungua hata kama huumwi chochote na unawez kutumia dawa vikapoa lkn vikajirudia tena.
WEWE ndiyo ambaye hujaelewa wewe kwann umeunganisha hizi nyuzi mbili?upo sahihi sana ila tatizo swali alilo kuuliza hapo chini pengine ni nje ya uwezo wako check huu uzi https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-na-itumike-muda-gani-kwa-mtu-aliyebakwa.html
gfsonwin inaonekana watu wengi wame bypass kile nilichoandika ukiwemo na wewe.Nadhani kasumba kuhusu ugonjwa huu bado inaendelea.
Argument 1:HIV hushambulia seli nyingi sana mwilini soon baada ya mtu kupata infection lkn target yake kubwa ni T cells ambayo hujulikana kama CD4 LYMPHOCYTE ama CD4.
Request: Naomba unipe scientific paper kuhusu ulichoandika hapo juu.
Jibu naomba hapa ukagoogle mwenyewe siwez kuattach papers hapa. kama una access na ELSEVER ni nzuri zaid ukisema tu "what happens soon after HIV infects the body" utapata journal nzuri tu zitakutoa kutokujua
Argument 2:Mtu huanza kujiskia kuwa na tatizo soon baada ya CD4 kupungua...
Request: Naomba scientific proof kwamba HIV anaua T cells.
jibu: ivi ni kuulize kwann unautwa upungufu wa kinga? na je T-CELLS kazi yake ni ipi? sasa google T-cells and HIV UTAPATA MAJIBU
Argument 3:na hivyo magonjwa hata yasiyokuwa na sababu hujitokeza.
Request:Naomba unitajie ugonjwa mmoja tu ambao hujitokeza bila ya sababu.
jibu: upungufu wa kinga huleta magonjwa mbali mbali mwilin pasipo sabb za msingi isipokuwa mtu huna kinga. kumbuka T-cells ndizo zinazopigana na wadudu wa magonjwa mwilini na hii process ni complicated kidogo. magonwja kama kuharisha, harara, homa za mara kwa mara ni dalili za upungufu wa kinga. hii haitofautiani na ile ambayo mtu huugua kwa kawaida. kumbuka kwamba kila ugonjwa umpatao mtu kinga dhidi ya ugonjwa huwa imepungua. na hapa kuna ile kinga ambayo imepungua kwasabb ya nature tu kwamba umekuwa subject kwenye hali fulan kinga ikashuka ama mwili ukashindwa kufight wadudu fulan na kuna ile hali ya kwamba mwili unaoupungufu wa kinga percee na hapa ndipo inapoitwa HIV sasa mtu anapokuwa na T cells ndogo ni wazi hana kinga ya kutosha.
Argument 4:dalili ya kwanza kwa alio wengi ambayo nimeona mie ni kwa ngozi kupoteza ubora wake na hapo mtu hupata harara ndogo ndogo sana kama vile vijipele vya joto. hii ni dalili ya kuwa tayari CD4 zimeshaanza kupungua hata kama huumwi chochote na unawez kutumia dawa vikapoa lkn vikajirudia tena.
Request:Naomba unipe scientific description kwamba harara na vipele kwenye ngozi vinahusiana na CD4 na si kitu kingine.
jibu ivi wewe unataka kila ktu utafuniwe go and read kasome journals za medical za Elsevere bhanaa.
Kwa wale ambao wangependa kuondokana na utumwa wa muda mrefu wa ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS mnaweza kufuatilia post zangu zote kwenye topic hii hapa chini:Tupende kujijengea tabia ya kusoma/kijifunza mambo yaliyo nje ya mainstream media ili kujua ukweli wa mambo yaliyojificha.
Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola
Hongera kwa kusaidia uelewa wa swali maana wengine walianza kujibu wasichoulizwaMleta mada anaulizia zile dalili za awali kabisa kuwa umepata VVU kabla hata ya CD4 kushuka.Niseme kwa ile miezi ya awali kabisa kabla hata ya magonjwa nyemelezi. Kumbuka magonjwa nyemelezi huanza pale CD4 zinaposhuka!!! Na ukumbuke kuwa kama unakula vizuri CD4 zako zinaweza kudumu hata miaka kumi bila kuonesha dalili kabisa ya ukimwi. Cha msingi kwa wale ambao say jana walipata maambukizi je kuna dalili yoyote atakuwa nayo katika mwili wake hasa katika ku-adopt kuwahifadhi foreign agent katika mwili sasa? Maana wanaingia, sidhani kama wanaingia kimya kimya na wakishaingia wanajiweka sawa wanatulia wanaanza kuzaliana na kushambulia kinga ndiyo CD4 zinahusika sasa. Tafadhali wenye uelewa wa mambo haya hebu wasaidie.
hahah;ushaliroweka wewe.....nenda kapime cd4 zako kama zipo chini ya 350 uanze dawa.sawa?
Baada ya siku tatu za tendo la ngono kupata mafua makali.Mleta mada anaulizia zile dalili za awali kabisa kuwa umepata VVU kabla hata ya CD4 kushuka.Niseme kwa ile miezi ya awali kabisa kabla hata ya magonjwa nyemelezi. Kumbuka magonjwa nyemelezi huanza pale CD4 zinaposhuka!!! Na ukumbuke kuwa kama unakula vizuri CD4 zako zinaweza kudumu hata miaka kumi bila kuonesha dalili kabisa ya ukimwi. Cha msingi kwa wale ambao say jana walipata maambukizi je kuna dalili yoyote atakuwa nayo katika mwili wake hasa katika ku-adopt kuwahifadhi foreign agent katika mwili sasa? Maana wanaingia, sidhani kama wanaingia kimya kimya na wakishaingia wanajiweka sawa wanatulia wanaanza kuzaliana na kushambulia kinga ndiyo CD4 zinahusika sasa. Tafadhali wenye uelewa wa mambo haya hebu wasaidie.
Asante kiongozi. Nami ninafahamu hivyo kuwa awali kabisa in a 3-7 days ni mafua makali na kama immune iko chini unapata pia tonsilitis na tezi kuvimba kuashiria kuna fight kali mwilini.Baada ya siku tatu za tendo la ngono kupata mafua makali.