Kwa mtu mwenye HIV, Ni dalili gani za kwanza humpata, na huonekana baada ya muda gani?

Nakumbuka ile thread yake ya kuumwa koo watu walipoanza kuongelea kupima ukimwi alipinga hili swala vikali
 
:smile-big: yaani nimecheka sana huyu Majigo sijui kuna sehemu kapita anahisi sio salama yaani ukimpa ushauri wa kumpa moyo anaufurahia. Yaani Sizinga alisha mchanganya kabisaa!

Huyu jamaa kacheza rafu sehemu halafu anasikilizia kwa kujipa moyo kama kaukwaa ama vp...sema tu hajafunguka vizuri.
Hata dalili zake hataki kuziweka wazi.
 
Nakumbuka ile thread yake ya kuumwa koo watu walipoanza kuongelea kupima ukimwi alipinga hili swala vikali

Hiyo sredi sikuwahi kuipitia ukiweza tupia link manake nipo na simu siezi pekuapekua mafrofile yake.
 
Hiyo sredi sikuwahi kuipitia ukiweza tupia link manake nipo na simu siezi pekuapekua mafrofile yake.

mkuu Sizinga mi sina tatizo lolote, yaani niko fiti kama mashine ya kusaga vyuma vya pua!
 
Last edited by a moderator:
hahah;ushaliroweka wewe.....nenda kapime cd4 zako kama zipo chini ya 350 uanze dawa.sawa?

dalili za mwanzo kabisa ni uchovu usioelezeka sababu yake ni nini, flu ambayo after few weeks inadisappear, homa, rushes, utando mweupe kwenye ulimi ambao hata ukipiga mswaki hautoki!! hizo ni baadhi ya dalili kuu za mwanzo mtu akiwa na virusi vya vvu
 
dah! Hizo dalili zako kidogo zinatuletea utata ila mimi sina mafua na huo utando, pia nimeshajua sina tatizo lolote... bali ni kauchovu ka kawaida tu!
 
mkuu Sizinga mi sina tatizo lolote, yaani niko fiti kama mashine ya kusaga vyuma vya pua!
Aisee sawa bhana mi nikafikiri kwamba unahisi unao kale kaugonjwa...isitoshe mwaka 2015 NATO watatangaza rasmi dawa na zitasambazwa kusini mwa Jangwa la Sahara...so usijinyonge mkuu..LOL
 
Aisee sawa bhana mi nikafikiri kwamba unahisi unao kale kaugonjwa...isitoshe mwaka 2015 NATO watatangaza rasmi dawa na zitasambazwa kusini mwa Jangwa la Sahara...so usijinyonge mkuu..LOL

dah! Kwa hiyo imebaki miezi nane sio?
Waje haraka kwakweli, hii ni habari nzuri...ahsante sana mkuu!
 
hakuna dalili maana ukimwi sio ugonjwa..ni kinga tu inakuwa imeshuka iyo inafanya mtu aumwe vitu kama tb, malaria etc..dalili zitakuwa za malaria,tb etc
 
Back
Top Bottom