Kwa mtu mwenye HIV, Ni dalili gani za kwanza humpata, na huonekana baada ya muda gani?

Mleta mada anaulizia zile dalili za awali kabisa kuwa umepata VVU kabla hata ya CD4 kushuka.Niseme kwa ile miezi ya awali kabisa kabla hata ya magonjwa nyemelezi. Kumbuka magonjwa nyemelezi huanza pale CD4 zinaposhuka!!! Na ukumbuke kuwa kama unakula vizuri CD4 zako zinaweza kudumu hata miaka kumi bila kuonesha dalili kabisa ya ukimwi. Cha msingi kwa wale ambao say jana walipata maambukizi je kuna dalili yoyote atakuwa nayo katika mwili wake hasa katika ku-adopt kuwahifadhi foreign agent katika mwili sasa? Maana wanaingia, sidhani kama wanaingia kimya kimya na wakishaingia wanajiweka sawa wanatulia wanaanza kuzaliana na kushambulia kinga ndiyo CD4 zinahusika sasa. Tafadhali wenye uelewa wa mambo haya hebu wasaidie.

HIV hushambulia seli nyingi sana mwilini soon baada ya mtu kupata infection lkn target yake kubwa ni T cells ambayo hujulikana kama CD4 LYMPHOCYTE ama CD4.

HIV huingia mwilini na kwenda kwenye dendritic cells ambapo husafirishwa hadi maeneo ya matukio kwaajili ya kuzaliana. Virus huyu huzaliana kwa hatua zifuatazo, nazo ni binding and fusion, reverse transcription, transcription na mwisho assembly. Budding ndiyo stage ya mwisho kabisa na toka hapo hapo virus huyu huwa amesha tengeneza seli nyingi na hivyo sasa hutoka na kuanza kushambulia seli nyingine mwilini.

mpaka wakati huu mhusika hawez kuwa na dalili yyte ile na wala hatajiskia kama ni mgonjwa. Mtu huanza kujiskia kuwa na tatizo soon baada ya CD4 kupungua na hivyo magonjwa hata yasiyokuwa na sababu hujitokeza.
dalili ya kwanza kwa alio wengi ambayo nimeona mie ni kwa ngozi kupoteza ubora wake na hapo mtu hupata harara ndogo ndogo sana kama vile vijipele vya joto. hii ni dalili ya kuwa tayari CD4 zimeshaanza kupungua hata kama huumwi chochote na unawez kutumia dawa vikapoa lkn vikajirudia tena.
 
Inachukua muda gani tangu siku ambukizwa mpaka harara ndogo ndogo kuanza kutoka?
 
gfsonwin inaonekana watu wengi wame bypass kile nilichoandika ukiwemo na wewe.Nadhani kasumba kuhusu ugonjwa huu bado inaendelea.

Argument 1:HIV hushambulia seli nyingi sana mwilini soon baada ya mtu kupata infection lkn target yake kubwa ni T cells ambayo hujulikana kama CD4 LYMPHOCYTE ama CD4.

Request: Naomba unipe scientific paper kuhusu ulichoandika hapo juu.

Argument 2:Mtu huanza kujiskia kuwa na tatizo soon baada ya CD4 kupungua...

Request: Naomba scientific proof kwamba HIV anaua T cells.

Argument 3:na hivyo magonjwa hata yasiyokuwa na sababu hujitokeza.

Request:Naomba unitajie ugonjwa mmoja tu ambao hujitokeza bila ya sababu.

Argument 4:dalili ya kwanza kwa alio wengi ambayo nimeona mie ni kwa ngozi kupoteza ubora wake na hapo mtu hupata harara ndogo ndogo sana kama vile vijipele vya joto. hii ni dalili ya kuwa tayari CD4 zimeshaanza kupungua hata kama huumwi chochote na unawez kutumia dawa vikapoa lkn vikajirudia tena.

Request:Naomba unipe scientific description kwamba harara na vipele kwenye ngozi vinahusiana na CD4 na si kitu kingine.

Kwa wale ambao wangependa kuondokana na utumwa wa muda mrefu wa ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS mnaweza kufuatilia post zangu zote kwenye topic hii hapa chini:Tupende kujijengea tabia ya kusoma/kijifunza mambo yaliyo nje ya mainstream media ili kujua ukweli wa mambo yaliyojificha.

Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola
 
upo sahihi sana ila tatizo swali alilo kuuliza hapo chini pengine ni nje ya uwezo wako check huu uzi https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-na-itumike-muda-gani-kwa-mtu-aliyebakwa.html
 
WEWE ndiyo ambaye hujaelewa wewe kwann umeunganisha hizi nyuzi mbili?
uzi ulioutoa kama reference kwake yeye hakuuquote. ukisoma maelezo yake alitaka kujua b4 kuanza kupata magonjwa nyemelezi mtu huwa na dalili gani?

majibu yangu yametosha kauonyesha kwamba hakuna dalili soon after ibfection na kutokana na majibu yangu kama mmtu atatumia PEP soon after contacting HIV anaweza kuzuia wasizaliane kwenye cell zake.

soma uzi wake wa mwanzo uelewe
 
gfsonwin inaonekana watu wengi wame bypass kile nilichoandika ukiwemo na wewe.Nadhani kasumba kuhusu ugonjwa huu bado inaendelea.

Argument 1:HIV hushambulia seli nyingi sana mwilini soon baada ya mtu kupata infection lkn target yake kubwa ni T cells ambayo hujulikana kama CD4 LYMPHOCYTE ama CD4.

Request: Naomba unipe scientific paper kuhusu ulichoandika hapo juu.

Jibu naomba hapa ukagoogle mwenyewe siwez kuattach papers hapa. kama una access na ELSEVER ni nzuri zaid ukisema tu "what happens soon after HIV infects the body" utapata journal nzuri tu zitakutoa kutokujua

Argument 2:Mtu huanza kujiskia kuwa na tatizo soon baada ya CD4 kupungua...

Request: Naomba scientific proof kwamba HIV anaua T cells.

jibu: ivi ni kuulize kwann unautwa upungufu wa kinga? na je T-CELLS kazi yake ni ipi? sasa google T-cells and HIV UTAPATA MAJIBU

Argument 3:na hivyo magonjwa hata yasiyokuwa na sababu hujitokeza.

Request:Naomba unitajie ugonjwa mmoja tu ambao hujitokeza bila ya sababu.

jibu: upungufu wa kinga huleta magonjwa mbali mbali mwilin pasipo sabb za msingi isipokuwa mtu huna kinga. kumbuka T-cells ndizo zinazopigana na wadudu wa magonjwa mwilini na hii process ni complicated kidogo. magonwja kama kuharisha, harara, homa za mara kwa mara ni dalili za upungufu wa kinga. hii haitofautiani na ile ambayo mtu huugua kwa kawaida. kumbuka kwamba kila ugonjwa umpatao mtu kinga dhidi ya ugonjwa huwa imepungua. na hapa kuna ile kinga ambayo imepungua kwasabb ya nature tu kwamba umekuwa subject kwenye hali fulan kinga ikashuka ama mwili ukashindwa kufight wadudu fulan na kuna ile hali ya kwamba mwili unaoupungufu wa kinga percee na hapa ndipo inapoitwa HIV sasa mtu anapokuwa na T cells ndogo ni wazi hana kinga ya kutosha.

Argument 4:dalili ya kwanza kwa alio wengi ambayo nimeona mie ni kwa ngozi kupoteza ubora wake na hapo mtu hupata harara ndogo ndogo sana kama vile vijipele vya joto. hii ni dalili ya kuwa tayari CD4 zimeshaanza kupungua hata kama huumwi chochote na unawez kutumia dawa vikapoa lkn vikajirudia tena.

Request:Naomba unipe scientific description kwamba harara na vipele kwenye ngozi vinahusiana na CD4 na si kitu kingine.

jibu ivi wewe unataka kila ktu utafuniwe go and read kasome journals za medical za Elsevere bhanaa.

Kwa wale ambao wangependa kuondokana na utumwa wa muda mrefu wa ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS mnaweza kufuatilia post zangu zote kwenye topic hii hapa chini:Tupende kujijengea tabia ya kusoma/kijifunza mambo yaliyo nje ya mainstream media ili kujua ukweli wa mambo yaliyojificha.

Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola

majibu yangu hayop hapo juu, ugonjwa uwe umeletwa na nani uwe haujaletwa so long as upo katika jamii basi ni tatizo. wee ukibishana kuhusu nani kauleta wenzio wanafurahia kwamba wana control population na hapo makampuni makubwa ya dawa yanafurah kwamba yanaingiza hela kwa kuuza dawa.

badala ya kubishana kuhusu nani mchawi fikiria kuhusu kujikinga na maradhi hayo. afu kuna hatari sana kama mtu usipokuwa msomaji mzuri wa vitu. ukiusoma ukimwi kama ugonjwa tu usipozama ndani zaid kuangalia immune system bado hujaujua ugonjwa na utakuwa unaongea stori za mtu wa kawaida.

kuna tatizo kubwa sana naliona kwa wewe mleta mada nalo ni hujui vizuri mfumo wa kinga dhidi ya magonjwa mwilini na hapo ndipo unapoleta siasa kwenye uhalisia afya haihitaj siasa.

go and read ningekuwa naweza ningekuwekea notisi za immune system labda usingeendelea kubishana
 
gfsonwin angalau unajua kitu kimoja muhimu kwamba waliotudanganya kwamba HIV anasababisha AIDS wanataka kuuza madawa.Keep it up/hongera.

Pia napenda kukujulisha kwamba maswali yangu niliyo uliza umeyachukulia kirahisi sana bila pia kujua mimi najua nini kuhusu HIV/AIDS.Tuko hapa kujadiliana na hatimaye tujue ukweli uko wapi,hivyo usichukulie mambo kirahisi hivyo.Tatizo la HIV/AIDS community wanatumia sana pseudo science na hawana scientific proof/paper published na ndio maana sikushangaa hata wewe ulilikimbia swali langu kwa maana hata wakubwa zako kina Robert Gallo na Luc Montagnier pia hawana scientific proof/paper kwamba HIV causes AIDS zaidi ya kuwajaza watu na pseudo science.
Mimi nimefanya tafiti nyingi mtaani na HIV/AIDS clinics kuhusu ugonjwa huu feki,hivyo usinichukulie kirahisi,medical journal sio scientific proof/paper,mimi nahitaji scientific proof/paper nadhani unanielewa.

1.Kuhusu magonjwa ambayo hujitokeza bila sababu,hujajibu kitu chochote chenye maana,ninakuomba usikilize sauti za nje ya HIV/AIDS mainstream zinasemaje kuhusu ugonjwa huu feki nadhani unaweza kunielewa namaanisha nini.

2.HIV haui T-cells kama ulivyofundishwa 30 yrs plus kutoka kwenye pseudo science na hasababishi AIDS bali AIDS is a lifestyle disease ambayo husababishwa na mambo mengi na kwa suala hili ni ARVs ndizo hasa zina play part ya huyo HIV feki kusababisha AIDS,unajua side effects za ARVs?Nitakupa link uangalie na hapo chini naweka scientific paper usome kama utapata muda kuthibitisha hili.Nina mambo mengi sana ya kukueleza hapa lakini tuanze na hayo kwanza.

Ref 1: Dr.Peter Duesberg with 10 Scientific arguments why HIV can not cause AIDS: https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0

Ref 2:Mgunduzi wa kipimo cha HIV cha PCR,Kary Mullis haamini kwamba HIV anasababisha AIDS kwa kuwa hakuna any scientific proof/paper: https://www.youtube.com/watch?v=dL3cAS3YUKM

Ref 3:Luc Montagnier mgunduzi wa HIV anasema "you can be exposed to HIV many times without being clinically infected,your immune system get rid of the virus within few weeks if you have good immune system:
https://www.youtube.com/watch?v=XSSpoFq7uhM

Ref 4:ARVs side effects: https://www.youtube.com/watch?v=GokUme9x07E

Link/website yao wenyewe inaonesha side effects za ARV(TENOFOVIR DIsoproxil fumarate(TDF)),angalia sehemu ya WARNING: Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo

Nimekuwekea hao watu watatu muhimu katika masuala ya HIV/AIDS.Huwezi kuizungumzia HIV/AIDS bila kuwataja hao watu.Na hapo chini nakuwekea baadhi ya scientific papers kuthibitisha maelezo ya hapo.Soma kwa makini uelewe.Ukitaka physical evidence pia ninayo.Nina ndugu yangu kaacha dawa baada ya kutumia miaka 7 na leo hii imepita miaka 10 toka vipimo feki vya HIV vimpime HIV+,lakini bado anadunda na ana afya njema haumwi.Kama kuna kitu nimesahau niulize maana nina uhakika na kile ninachokijua kuhusu ugonjwa huu feki kwa asilimia zote.

Dunia bila HIV/AIDS ilishawezekana miaka mingi tu ila kuna kundi la watu wabinafsi wanaleta siasa kwenye maisha ya watu.

"OFFICIAL LIES ARE ALWAYS THE BIGGEST LIES OF ALL"
 
Nikweli bana msitupe presha kuna dalili nyingi sana za VIH Acheni nanyie waulizaji ukijishuku unabidi ukapime ndio njia sahihi usijipe presha zabure pengine huna umelogwa misum ya kichawi wewe unazani kua unaukimwi asanteni
 
Mleta mada anaulizia zile dalili za awali kabisa kuwa umepata VVU kabla hata ya CD4 kushuka.Niseme kwa ile miezi ya awali kabisa kabla hata ya magonjwa nyemelezi. Kumbuka magonjwa nyemelezi huanza pale CD4 zinaposhuka!!! Na ukumbuke kuwa kama unakula vizuri CD4 zako zinaweza kudumu hata miaka kumi bila kuonesha dalili kabisa ya ukimwi. Cha msingi kwa wale ambao say jana walipata maambukizi je kuna dalili yoyote atakuwa nayo katika mwili wake hasa katika ku-adopt kuwahifadhi foreign agent katika mwili sasa? Maana wanaingia, sidhani kama wanaingia kimya kimya na wakishaingia wanajiweka sawa wanatulia wanaanza kuzaliana na kushambulia kinga ndiyo CD4 zinahusika sasa. Tafadhali wenye uelewa wa mambo haya hebu wasaidie.
Hongera kwa kusaidia uelewa wa swali maana wengine walianza kujibu wasichoulizwa
 
hahah;ushaliroweka wewe.....nenda kapime cd4 zako kama zipo chini ya 350 uanze dawa.sawa?

Kwa sasa unaanza dawa/ARVs regardless of CD4 Count/Status ! Meaning as long as you're diagnosed to be HIV+ !!!
 
Dalili za mwanzo kabla ya zote baada ya ku sex na mtu mwenye HIV ni mwili kuwashwa hii ujitokeza baada ya wiki moja tangu u fanye sex,hii inamaanisha uwe umepata au hukupata michubuko.Coz maji maji ya uke wa muathirika yanaweza kuingia kupitia kitundu cha uume pale unapotolea mkojo kwa juu refers jinsi unanmvyo ingiza ndani na kutoa ile presha ina sukuma maji ya muathirika kuingia ndani kupitia hicho kitundu so usijidanganye eti kwakuwa hujachubuka basi uko safe, NNO!Hii ni njia ya haraka ya sana yaani with in a week kama una hyo wahi kapime.
 
Baada ya weekend yangu kwenda njema sana leo niliamua kuacha ujinga na kuchukua hatua muhimu sana maishani ya kwenda kupima ukimwi, kitu ambacho wengi wenu mnaogoa. Hapa nimerudi na furaha tele baada ya kukuta clinic imefungwa
 
Mleta mada anaulizia zile dalili za awali kabisa kuwa umepata VVU kabla hata ya CD4 kushuka.Niseme kwa ile miezi ya awali kabisa kabla hata ya magonjwa nyemelezi. Kumbuka magonjwa nyemelezi huanza pale CD4 zinaposhuka!!! Na ukumbuke kuwa kama unakula vizuri CD4 zako zinaweza kudumu hata miaka kumi bila kuonesha dalili kabisa ya ukimwi. Cha msingi kwa wale ambao say jana walipata maambukizi je kuna dalili yoyote atakuwa nayo katika mwili wake hasa katika ku-adopt kuwahifadhi foreign agent katika mwili sasa? Maana wanaingia, sidhani kama wanaingia kimya kimya na wakishaingia wanajiweka sawa wanatulia wanaanza kuzaliana na kushambulia kinga ndiyo CD4 zinahusika sasa. Tafadhali wenye uelewa wa mambo haya hebu wasaidie.
Baada ya siku tatu za tendo la ngono kupata mafua makali.
 
Asante kiongozi. Nami ninafahamu hivyo kuwa awali kabisa in a 3-7 days ni mafua makali na kama immune iko chini unapata pia tonsilitis na tezi kuvimba kuashiria kuna fight kali mwilini.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom