Nunua kiwanja jenga nyumba ya kupangisha. Kodi ukipata weka bank kwa sabab inaonekana uko busy huwez kusimamia biashara.Jamaa yangu ameomba ushauri,nimeona nilete jamvini ;
"Nimejifunza mengi kwa muda mrefu,...ninafanya shughuli nyingine ambayo inanihitaji niwepo muda mwingi....lakini nina mtaji kama 20m ambayo ninataka kuwekeza sehemu nyingine ili niongeze wigo wa kipato lakini napata changamoto ya kuwekeza ukizingatia sintokuwepo full time sababu;
1.Asilimia 95% ya fursa zinazotangazwa ni za kitapeli kama vile Namaingo,BitClub,Forex nk kote huko nimepigwa vya kutosha
2.Nikifungua biashara na kumuweka kijana ...ni maumivu matupu kwani sasa nimeamini hakuna kijana wa kumpa kazi akafanya na ukatengeneza hela
3.Biashara za mtandaoni 99% ni za kitapeli...
Sasa nimekwama kabisa....Natafuta mawazo mapya kama yapo...."
Duh hata mimi nakuna kichwa, mwenye wazo jipya anakaribishwa......
Kwani hizo biashara ambazo ulikuwa unawaachia vijana zilikuwa zinalipa isipokuwa vijana ndio sio waaminifu au zilikuwa zilileta hasara?
Kama zilikuwa zinalipa sioni haja ya kuja kutafuta fursa nyingine mi nakushauri concentrate kwa kufanya review upya ya jinsi kukabiliana na changamoto hiyo vinginevyo utajaribu kila fursa na unaweza kuishia na hasara kila siku.
Jamaa yangu ameomba ushauri,nimeona nilete jamvini ;
"Nimejifunza mengi kwa muda mrefu,...ninafanya shughuli nyingine ambayo inanihitaji niwepo muda mwingi....lakini nina mtaji kama 20m ambayo ninataka kuwekeza sehemu nyingine ili niongeze wigo wa kipato lakini napata changamoto ya kuwekeza ukizingatia sintokuwepo full time sababu;
1.Asilimia 95% ya fursa zinazotangazwa ni za kitapeli kama vile Namaingo,BitClub,Forex nk kote huko nimepigwa vya kutosha
2.Nikifungua biashara na kumuweka kijana ...ni maumivu matupu kwani sasa nimeamini hakuna kijana wa kumpa kazi akafanya na ukatengeneza hela
3.Biashara za mtandaoni 99% ni za kitapeli...
Sasa nimekwama kabisa....Natafuta mawazo mapya kama yapo...."
Duh hata mimi nakuna kichwa, mwenye wazo jipya anakaribishwa......
ndo maana nimesema aje na plan ya kutatua hiyo changamoto kuliko kuanzisha kingine kipya, unaachaje biashara inayokulipa kwa changamoto ya vijana.Yap zilikuwa zinalipa....lakini sasa hawezi kujigawa kote anatafutwa mtu anayejitambua
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/-m ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Nyumba ya 25m ikojeSababu huna uzoefu wowote nunua Nyumba Upangishe. Ni rahisi kusimamia.
Weka namba yako hapa. Ni wengi tunazo hizo hela hatuna ideaNitafte nikupe idea. Siwezi eleza humu.
Nyumba ya 25m ikoje