Endelea kufundisha tution tuu mkuuu,pata kaz ndo uache kaz
Fuga kuku wa kisasa.
Hata mimi nimechoka kusikia hii idea ya kufuga kuku mtu asiombe ushauri utasikia fuga kuku utafikir tuna vichwa vya kuku hatuwaz outside the box . mtoa mada nakushauri mamb mawil 1 tafuta site au mwamvuli umwek mtu akufanyie tigopesa au mpesa inalipa kam uko sehem yenye watuhuu ushauri wa kufuga kuku na kulima nimechoka kuusikia, hivi hakunaga ideas zingine? mtoa mada angalia mazingira unayoishi unaweza pata wazo.
asante kwa mawazo yako mkuuuHata mimi nimechoka kusikia hii idea ya kufuga kuku mtu asiombe ushauri utasikia fuga kuku utafikir tuna vichwa vya kuku hatuwaz outside the box . mtoa mada nakushauri mamb mawil 1 tafuta site au mwamvuli umwek mtu akufanyie tigopesa au mpesa inalipa kam uko sehem yenye watu
2 Nunua bodaboda umtafute mtu mwaminifu akuletee pesa kila siku mpk mwak unaisha utapata faida
huu ushauri wa kufuga kuku na kulima nimechoka kuusikia, hivi hakunaga ideas zingine? mtoa mada angalia mazingira unayoishi unaweza pata wazo.
Hata mimi nimechoka kusikia hii idea ya kufuga kuku mtu asiombe ushauri utasikia fuga kuku utafikir tuna vichwa vya kuku hatuwaz outside the box . mtoa mada nakushauri mamb mawil 1 tafuta site au mwamvuli umwek mtu akufanyie tigopesa au mpesa inalipa kam uko sehem yenye watu

Tatizo la ajira limekua gumu sana ,nimemaliza shahada yangu mwaka jana ila wakati nasubiria nipate ajira nilianza kufundisha tuition na nina balance ya tsh 1.5 mil net ambayo ni nje ya matumizi yangu ya kila siku sasa swali langu ni je naweza kufanya biashara gani yoyote halali? hope kutakua na wazoefu humu nahitaji msaada wa mawazo
Nimecheka mimi usiku huu hadi mwanangu ananishangaa! Mkuu Hus umechoka watu kila mara ni aidha wakalime au wakafuge! Hahahahahaha sasa si ndio level zetu mkuu! The options is our country are very limited kwa kweli na hasa kwa mitaji midogo kama ya ndugu yetu hapa.
hahahaha!! vimezidi kwakweli. nafikiri tuna uvivu wa kufikiri ndio maana ushauri tunaotoa haraka haraka ni kufuga kuku na kulima. opportunities zipo nyingi tu basi watu hawataki kuzitafuta.
Na hicho ndicho anachoulizia mwenzetu,kama unajua hizo opportunities zitaje hapa ili huyu mh. asipewe hayo maushauri ya kufuga na kulima. Kuna kipindi nami nilichukua ushauri wa ndg mmoja kwenye jukwaa la uchumi juu ya kilimo na mtaji wangu mdogo nikafanyia kazi utadhani nilikuwa nashauriwa mimi nikaenda ruvu kwenye mashamba ya serikali nikakodi na kulima mpunga na imenilipa na sasa naendelea tena.
Kwahiyo badala kuonesha kuchukia ushauri toa suluhisho mbadala dada yangu