We are so careless. Utasikia eti hata kama limekosewa message sent. Upuuzi mtupu. Namna hii hatuwezi ku-survive kwenye shirikisho ambalo washirika wetu wako makini. Inakuwaje tangazo linalotolewa na serikali liwe na makosa ya kis-enge namna hii?? Tena kwenye gazeti kubwa hivi? hakuna proof reading hata kidogo? Ukitaka kujua tuna matatizo, wakurugenzi wenyewe wanaliona na wanaendelea na ishu zao kama kawaida. Yaani hata mchana lunch wataenda kama kawa na chakula kinashuka. KAMA MULUGO kule kwenye conference. Hebu soma halafu sema umeelewa nini!!
:A S 13:
:A S 13: