Lakini msiwe na picha ya hivyo sana.Huyu ni kigori(u-ntombi),wakiwa wengi(a-mantombazane).Kucheza dansi hii ni lazima kigoli awe hajaharibikaa(bikra).Wapo mabibi maalum kwa ukaguzi,kwani hukagua hata watoto wa kiume bikira zao kupitia kurusha mkojo kwa kuchora mstari chini pamoja na majaribio mengine.makabila yote ya NGUNI speaking ya nchi za SADC hufanya dansi hii(XOSA,ZULU,NDEBELE na SOTHO & SWATI).Sio potray ya ukahaba kama ilivyo vichwani mwa wengi bali ni tamaduni ya karne na karne.