Kwa mswati kutamuu

Tena hawanaga roho mbaya!, "hata yale maharage ya kule kwa maji mara moja", yanachelewa kuiva!, ukigusa tuu...!, twende!. Wewe tuu!.
P.

ha ha ha ha ha ha

Pasco katika ubora wake
 
Last edited by a moderator:
Hawanaga msamiati wa HAPANA labda uwe na gundu dume
Tukiwa mkutano fulani wa Human Rights, Lusaka, hoteli ya Pamodzi, host wetu ili ku save cost, wakatupangia shared rooms kwa country men. room mate wangu akafika bei kwa Mswazi mmoja, akakubaliwa tatizo likawa tuko shared room mimi nitakwenda wapi?!, demu akamwambia no problem, mimi ndio nitamtoa room mate wangu aje kwako, na wewe si una room mate?!, jamaa aliponipa huo mchongo, nikaona kama zali, maana sample za Zambia, ni kama za Malawi au Nchumbiji, ukiachia wamulato, wengi wote wako wako tuu, sura za kiume!.

Nikawa introduced kwa huyo room mate, you don't have to say much!, (japo kunako, sio kivile kama hivyo visura!), ni mpaka asubuhi!, akarudi kwake na room mate wangu karudi tukahadidhiana tulivyo faidi!. Siku ya nikijua ni hivyo hivyo kama jana!, kumbe kwenye conference,kuna mtu kaona, kafika bei, kaamua kulipia full full room peke yake, room mate wangu kaenda akakuta anasubiriwa, mimi ni subiri, subiri na wewe!, napiga simu kule naambia katoka, hayupo!. Siko hiyo ikapita bila bila, jamaa akanipa tuu pole!.

Kesho yake kwenye conference room namuona mimi najifanya kukasirika kuwa jana ulilala wapi?, huwezi amini, nilishikwa mkono nikaonyeshwa this is my new friend from Kenya, this is my friend from Tanzania!, that was it!. Yule demu wa room mate wangu, akaniambia don't mind, after all I'm the one who gave you my sister, don't worry she can came back to you tomorrow!, nilisusa!.

Wenzetu sio wachoyo kabisa!, wanagawa tuu kama pipi, bila aibu na bila any regret, hivyo hilo ziwa ni hapo tuu, asili yao hawana hata lile vazi la pich.!, ile issue ni kama kushake hands tuu!.


P.
 
mshana jr, karibu Babati, huna haja ya kwenda kwa Mswati, Njoo ufaudu vitoto vya ki-iraq.
 

Hahahahaaa hahahahaaa let me reserve my story kwenye kitongoji cha Zithobeni Mphumalanga Province, aisee wanawake wa Kizhulu hawathamini kabisa nyeti zao, naona utawala wa ubaguzi wa rangi uliwaathiri vibaya sana

Halafu sasa sio wachoyo kabisa yani ni kawaida kabisa kuambiwa am tired this side please change side
 
Du!, tatizo la Wa South!, hawakolei!, wamekuwa kama wazungu hadi taste, nathani ni sababu ya climate yao baridi hadi miili!.

Mimi kinachonichosha kwenye dressing zao, ni vile vimini vya ajabu ndio uniforms za shule!, ukijumlisha na hayo maombo makubwa!, paja, bust na rangi zao nyeupe, nachoka kabisa!, issue inabaki moja tuu, ladha!.

P.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…