Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.
...umeona eeeh!...yaaani we acha tu mkuu...kuna mijitu(walimu) mingine ukiiangali unaiona-inafanana na binadamu wa kawaida lakini kumbe ni misukule,hipo hipo tu wala hata hajitambui...
Samahani usi generalize , mimi nimeingia UDSM mwaka 2001 na point 8 CBG Bachelor of Science with Education, hivyo siyo walimu wote wenye IV naomba tutakane radhi.
Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi
Kwisha habari yenu wakati mbunge ndo posho ya siku moja mwalimu anaitafuta kwa mwezi tena na kodi juu
Aisee hii mbona inakaukweli ndani yake! Dah sikuwahi kufikiria hivyo hapo mwanzo ila kwa sasa inabidi wawe wapole tu kama kigezo ndio hicho.
Samahani usi generalize , mimi nimeingia UDSM mwaka 2001 na point 8 CBG Bachelor of Science with Education, hivyo siyo walimu wote wenye IV naomba tutakane radhi.
Wewe utakuwa ni tone la mafuta Baharini. Taaluma ya ualimu tunaijua na Sifa za kujiunga huko tunazifahamu ndugu yangu.
Nimekuelewa kumbe walimu VILAZA,
Je mmeweka hii makusudi kuwa walimu wawe vilaza ili wafundishe watoto madudu na mwisho wasiku TANZANIA iwe ya wanzanchi VILAZA wasio weza kuwaza wala kuhoji ?
kwa mujibu wa waraka wa watumishi wa serikali Na 1. Wa mwaka 2013, wenye Kumb. Na.CAC.205/228/01/C/14 wa Julai 2, 2013 uliosainiwa na Katibu mkuu Utumishi Ndugu George D. Yambeshi. Unaoonyesha marekebisho ya mishahara kwa watumishi wa serikali. Katika waraka huu unaendelea kudidimiza kada ya ualimu kulingana na kada zingine kama vile kada ya afya, sheria na kilimo na utafiti ambapo kada hizi hulipwa mishahara mikubwa kuliko ya walimu.
NGAZI YA ELIMU UALIMU/ ELIMU KILIMO AFYA Certificate (Cheti) Tsh 344,000/= Tsh 1,060,000/= Tsh 562,000/= Diploma (Stashahada) Tsh 432,500/= Tsh 1,252,000/= Tsh 821,000/= Degree (Shahada) Tsh 589,000/= Tsh 1,473,000/= Tsh 994,000/=
[TD="colspan: 4"] Jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu
[/TD]
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.
Kama huna jambo la kuandika plz kaa kimya!Wewe utakuwa ni tone la mafuta Baharini. Taaluma ya ualimu tunaijua na Sifa za kujiunga huko tunazifahamu ndugu yangu.