Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
kwa mujibu wa waraka wa watumishi wa serikali Na 1. Wa mwaka 2013, wenye Kumb. Na.CAC.205/228/01/C/14 wa Julai 2, 2013 uliosainiwa na Katibu mkuu Utumishi Ndugu George D. Yambeshi. Unaoonyesha marekebisho ya mishahara kwa watumishi wa serikali. Katika waraka huu unaendelea kudidimiza kada ya ualimu kulingana na kada zingine kama vile kada ya afya, sheria na kilimo na utafiti ambapo kada hizi hulipwa mishahara mikubwa kuliko ya walimu.
[TD="colspan: 4"] Jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu
[/TD]
| NGAZI YA ELIMU | UALIMU/ ELIMU | KILIMO | AFYA |
| Certificate (Cheti) | Tsh 344,000/= | Tsh 1,060,000/= | Tsh 562,000/= |
| Diploma (Stashahada) | Tsh 432,500/= | Tsh 1,252,000/= | Tsh 821,000/= |
| Degree (Shahada) | Tsh 589,000/= | Tsh 1,473,000/= | Tsh 994,000/= |
[TD="colspan: 4"] Jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu
[/TD]