Kwa msaada wa watu wa marekani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa msaada wa watu wa marekani!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Paradisian, Apr 13, 2012.

 1. Paradisian

  Paradisian JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 60
  Huwa nashindwa kuelewa,kwa nini kila kitu wanatufadhili wa marekani?
  Hii ipo hasa kwenye sekta nyeti mfano afya,maliasili na utalii,nishati na madini..nk.
  Hivi hawa wageni wanatoa vitu bure tu kwa nchi maskini kama yetu kwan huko kwao hakuna maskini mpaka waje kutusaidia,matokeo yake sasa tuna ambiwa tuhalalishe ushoga,madawa ya kulevya yanaingizwa ili yatupumbaze taifa la leo na kesho then wanachota mali zetu kilaini ,pembe za ndovu zinavushwa yaan tumepumbazwa ukitaka kusema wanatishia kukutoa roho.
  NAOMBA MAWAZO YENU WANA JUKWAA ILI NIANZE UKOMBOZI kwenye hii rocket ya Movement 4 Change!
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  hakuna tunachoweza hapa tz zaidi ya kupiga chabo (kudesa)
   
 3. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  yaani ndio jambo la kutia huruma na serikali yetu mdebwedo mengi tutayaona.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  sehemu kubwa ya maliasili yetu inaishia huko huko.
   
 5. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Leo mida flani ktk East Africa Radio, kipindi ni super mix watanzania tumedadavuliwa umaskini wetu unatokana na mambo mengi yakiwemo, unafiki wa viongozi wetu, ufisadi, mfumo mbovu wa elimu, na mengineyo mengi tu!! ........ Kikubwa tujipange kwa mabadiliko!
   
 6. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  shukrani ya punda mateke. acheni kuwasimanga wanaowapa misaada muwe na shukrani
   
Loading...