Kwa mnaojua sheria, msaada tafadhali

slowpancha

Senior Member
Jul 27, 2014
184
102
Je ni haki kwa mwajiri kutompatia pesa ya kujikim dereva wake awapo safarini kwa mda unaopitiliza pesa aliyompatia kwa kwenda na kuludi ikiwa sababu ya kuchelewa c dereva ila ni ofisi yenyewe?
 
Hapohapo nami nina swali waungwana, wakati naajiriwa nilijiunga na mfuko wa pensheni na kadi nninayo wa pspf, sasa baada ya kupata salary slip nimeshangaa kukuta nakatwa nssf, nimeshaandika barua kuomba niondolewe huko lakini naona bado, je nichukue uamuzi gani na je huko nssf wananitambuaje na wanakata Mara 2 ya pspf jee, pesa inayozidi nitarudishiwa kama inavyostahili, msaada wadau
 
Back
Top Bottom