Kwa MMU member tu.

bora uzazi wa mtoto mdogo kuliko mkubwa, they are very demanding. Ha ha, ila raha.

Kwa kweli usiome ban, unatuchangamsha mamii

unamlea mtoto mkubwa eeh (najua ushaelewa hapa). Najishtaki mwenyewe nipgwe ban nipumzike. Lol.
 
hahaha, u spy-gal! :spy:
ulijuaje, manake leo nimefungia mtu na supu ya maini ya kuchoma, ushaijaribu hiyo? wknd muruaa kabisa! mie hapa sasa,leta khabari. :juggle:
mateka hajambo,lol!:A S-coffee:

You, lucky daughter of a gun, leo ulikuwa unamstua nani kwa supu ya maini.
Sijakutia machoni kabisa!
 
bora uzazi wa mtoto mdogo kuliko mkubwa, they are very demanding. Ha ha, ila raha.

Kwa kweli usiome ban, unatuchangamsha mamii

eti eeh! Haya process ya kuomba ban cancelled. Nisaidie kumsalimia mkwe wangu king'asti maana pm hajibu wala simu hapokei.
 
Huyu mateka wa hiari hajamb. Nilitaka kumwachia huru amelia wewe akakimbilia Guantamo ya nyumbani kwangu. Sijawahi ona mateka analia hataki kuachiwa huru.

Ha ha ha, maini ya kuchoma! Ntajaribu kesho asubuhi

hahaha, u spy-gal! :spy:
ulijuaje, manake leo nimefungia mtu na supu ya maini ya kuchoma, ushaijaribu hiyo? wknd muruaa kabisa! mie hapa sasa,leta khabari. :juggle:
mateka hajambo,lol!:A S-coffee:
 
Mateka wa siku hizi ndo walivyo mwaya, ukimuambia toka anakuambia ntakuua! Bora anaelia.
Endelea na malezi bora, ukimuona mwali wangu husn muambie mama mkwe anabembelezwa walau na ka-ford station wagon hivi ama ka-ford double cabin ka kuendea shamba,lol
Huyu mateka wa hiari hajamb. Nilitaka kumwachia huru amelia wewe akakimbilia Guantamo ya nyumbani kwangu. Sijawahi ona mateka analia hataki kuachiwa huru.

Ha ha ha, maini ya kuchoma! Ntajaribu kesho asubuhi
 
Mateka wa siku hizi ndo walivyo mwaya, ukimuambia toka anakuambia ntakuua! Bora anaelia.
Endelea na malezi bora, ukimuona mwali wangu husn muambie mama mkwe anabembelezwa walau na ka-ford station wagon hivi ama ka-ford double cabin ka kuendea shamba,lol
Hahaha! Toka, ntakuua...khaa! Mke mwenza mwenzio kidogo nipaliwe na kande lol..

U khali gani yakhe?
 
Back
Top Bottom