Kwa MMU member tu.

Safi sana ndugu....

Wahi kule kwenye mdahalo wa Babu ODM ukatoe msimomo wako...Anataka kujua kama wewe ni mwanamume au mtu wa kiume au mvulana!!
 
Napita tu bandugu, wa kaunta tutakutana huko huko.

Jioni njemeni
 
Bibie, wapumzika saa ngapi wewe? Omba likizo, huu ukorokoroni wa MMU utakuua.

hehehe! Dah, utani wako unafanana na ukweli ujue. Halafu ukweli unauma. Ngoja nimuombe ban paw.
 
Ha ha ha, jamani usinishtaki, ujue mie niko bize nalea sasa ivi. Utaniharibia kabisa mahesabu

hehehe! Dah, utani wako unafanana na ukweli ujue. Halafu ukweli unauma. Ngoja nimuombe ban paw.
 
Ha ha ha, jamani usinishtaki, ujue mie niko bize nalea sasa ivi. Utaniharibia kabisa mahesabu

unamlea mtoto mkubwa eeh (najua ushaelewa hapa). Najishtaki mwenyewe nipgwe ban nipumzike. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…