jameslugendo
Member
- Sep 5, 2012
- 11
- 0
Naombeni mnifaamishe kama ifm inafundisha vizuri kozi hiyo ya computer science, pia naitaji kujua soko la ajila kwenye kozi hii.
everything happens for a reason.. Tegemea kujiajiri na sio kuajiriwa.. Gudluck kakaNaombeni mnifaamishe kama ifm inafundisha vizuri kozi hiyo ya computer science, pia naitaji kujua soko la ajila kwenye kozi hii.