Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,402
- 7,567
Utasemaje crane ni hype za waandishi wa habari wakati a liyeongea ni waziri?Kwa bahati nzuri mimi nimefika Stiglaz na kuona maendeleo ya kazi.
Pressure ya kazi haipo kwenye kuzuia maji ili kutengeneza bwawa, pressure iko katika kuinua tuta la bwawa (Dam) na kujenga powerhouse itakayofungwa mitambo 9(turbines), kila turbine ikiwa na uwezo wa kufua umeme 235MW, au kwa turbine zote 9 , umeme utakaofuliwa ni 2115MW.
Haya masuala ya crane ni hype ya waandishi wa habari ambao hawana idea nini kinaendelea.