Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

Kwa mikopo iliokopwa toka mwendazake avute kama ingeelekezwa huko kweny kumaliza mradi muhimu wa JNHPP na kuachana na habari za per diem na safari za watumishi zisizo na ulazima walau mageti yangekuwa yashafungwa hayo!

Ni sababu tu ule mradi hauna mwanya wa kupiga hela kimkataba sababu maji ni yetu na kila kitu kitakuwa chetu ndio maana watawala wanaona hauna maana sababu hauna ulaji😅!!!

Wao wanataka miradi inayohusisha ubia na mabeberu ili washirikiane nao na kumenya zile 10%...Utaona gesi walivyoishupalia japo ni gharama kuliko umeme wa turbines za kusukumwa na maji. Hio ni sababu kwenye hela wanayotuuzia umeme wa gas hio tayari wana 10% yao humo!
 
Posho zile za kumsindikiza Raisi anapoenda ulaya na kumpokea anaporudi.....

Nchi watu wanajitengenezea ulaji kila kukicha unafikiri watamaliza vipi ule mradi...

Mama nae anaendesha Nchi kwa ndoto za JPM,, akiamka anasikiliza JPM alimwambia nini ndotoni ndio anafanya....

Acha apige kazi,, tumpe muda na watendaji aliowachagua tuone mwisho wake..

Acha inyeshe........
 
KUNA SIKU TUTAMUABUDU NA KUMLILIA SANA MAGUFULI BORA KUONGOZWA NA MSHENZI MUMJUAE KULIKO KUONGOZWA NA WASTAARABU WALIO WAZI MAKALIONI. NDIO MAANA NKASEMA TUKIABUDU TUWAOMBEE WASTAAFU VIFO VYA MAPEMA WANAHARIBU HALAFU WANAENDELEA KULA TU. SI WA JESHINI WALA SIASANI.
 
Eti jamani, kuna crane la tani 26 tuliambiwa ndio kikwazo cha kuanza kujaza maji kwenye Bwawa la Rufiji na limeagizwa toka nje ya nchi; Hivi mliposema nje ya nchi mlimaanisha nje ya sayari hii au ni vipi?

Miezi mingapi inahitajika kulileta hilo crane ambalo nchi nzima hii hakuna? Naomba majibu tafadhali
1644570365545.png
 
Hivi watanzania milioni sitini hatuwezi kushusha na kunyanyua geti la bwawa? Kila mmoja wetu akichangia mnyanyuo wa kilo kumi - mnyanyuo jumla sawa na tani laki sita. Umoja ni nguvu.CCM oyee.
 
Eti jamani, kuna crane la tani 26 tuliambiwa ndio kikwazo cha kuanza kujaza maji kwenye Bwawa la Rufiji na limeagizwa toka nje ya nchi; Hivi mliposema nje ya nchi mlimaanisha nje ya sayari hii au ni vipi?

Miezi mingapi inahitajika kulileta hilo crane ambalo nchi nzima hii hakuna? Naomba majibu tafadhali
Ni kubwa mno hakuna chombo kinaweza kuibeba, sasa wameanza kuiendesha polepole kutoka asia nafikiri Korea kufika bongo kama miezi nane au tisa kulingana na hali njiani.
 
Ni kubwa mno hakuna chombo kinaweza kuibeba, sasa wameanza kuiendesha polepole kutoka asia nafikiri Korea kufika bongo kama miezi nane au tisa kulingana na hali njiani.
Daaah, aiseee..., hivi tulipataje serikali ya namna hii?! Tulikubalije?!
 
Back
Top Bottom