Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

Linakuja usiwe na wasiwasi. Halafu likifika port tutaangalia kama magari yetuyanaweza kulisafirisha. Kama hayawezi tutaagiza gari spesho. Likija gari tutaangalia kama barabara zetu litapita au la. Litafika tu
 
U
Mkuu usipojua kinaendelea nini huko Stiglaz, unaonekana irrelevant. Crane haihitajiki kule, na kinachosubiriwa ni mageti ya kuzuia maji, na hilo halijazuia kazi ya ujenzi wa bwawa kuendelea.
Ushauri wa bure walipa kodi wote tuanze utalii wa kodi na matumizi yake,kule Tanzanite bridge tumeambiwa tanroad wanaanza kukagua ubovu.
 
Back
Top Bottom