Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

Linatoka Bukoba kwa wahaya yaani nshomile, litapita Uganda, Kenya halafu hukooo kwenu, tatizo mmeshaanza kuleta vi mdomo mdomo eti mna crane hadi za Tani 90, tunapanga majibu ya kuwapa na kundi la watu wa kushangilia majibu yetu, yule jamaa yenu si alishakufa, Sasa acha tule nchi huku mnatushangilia, mmeelewa
Yaache yaendelee na midomo midomo Yao sisi tuko Mezani tunavunja mifupa
 
Kwa bahati nzuri mimi nimefika Stiglaz na kuona maendeleo ya kazi.

Pressure ya kazi haipo kwenye kuzuia maji ili kutengeneza bwawa, pressure iko katika kuinua tuta la bwawa (Dam) na kujenga powerhouse itakayofungwa mitambo 9(turbines), kila turbine ikiwa na uwezo wa kufua umeme 235MW, au kwa turbine zote 9 , umeme utakaofuliwa ni 2115MW.

Haya masuala ya crane ni hype ya waandishi wa habari ambao hawana idea nini kinaendelea.
Hili bwawa litakamilika mwaka gani?
 
Mkuu FRANCIS DA DON naona hii issue inakuumiza sana na umeamua kushikia bango ahahahaaaa 😁😂😂😂.

Pole sana ndiyo binadamu hawa wanaojinasibu kuipenda nchi yao kumbe nothing to tack out
 
Maji yanaweza kujazwa hata kwa muda wa miaka miwili, sio kwamba yanajazwa leo kesho yamejaa; anyway, mimi ninachotaka kujua, hilo Crane liko wapi ili tuanze kujaza maji hilo bwawa? Wameliagiza sayari ipi? Jupiter au Mars?
Mkuu swali lako ni kama kuulizia mkasi kiwanda cha nguo, its irrelevant.
 
Kwa bahati nzuri mimi nimefika Stiglaz na kuona maendeleo ya kazi.

Pressure ya kazi haipo kwenye kuzuia maji ili kutengeneza bwawa, pressure iko katika kuinua tuta la bwawa (Dam) na kujenga powerhouse itakayofungwa mitambo 9(turbines), kila turbine ikiwa na uwezo wa kufua umeme 235MW, au kwa turbine zote 9 , umeme utakaofuliwa ni 2115MW.

Haya masuala ya crane ni hype ya waandishi wa habari ambao hawana idea nini kinaendelea.
Hapo hakuna waandishi bali ni makamba mwenyewe alijibu sswali bungeni kuwa hakuna crane ya kubeba hayo mageti mpaka itoke nje ya nchi.
Na akasema kazi hiyo itafanyika mwezi wa tatu mwaka huu.
 
Tangu mwanzo huu mradi ulikuwa Batili na hautawahi kufanikiwa. Na si huu mradi pekee bali miradi yote inayoanzishwa na CCM . Inaanzishwaga mahsus na maksud kwa ajili ya upigaji.
Hivi ule wenu wa kulima kule morogoro umefikia wapi na yale matrecta alionunua mwenyekiti?
Kwani hhuo mladi kwenye ilani yenu umo na ulijadiliwa?
 
Hivi ule wenu wa kulima kule morogoro umefikia wapi na yale matrecta alionunua mwenyekiti?
Kwani hhuo mladi kwenye ilani yenu umo na ulijadiliwa?
Tulia weweee. Mnaiba bila aibu na huruma.
 
Mkuu usipojua kinaendelea nini huko Stiglaz, unaonekana irrelevant.
Crane haihitajiki kule, na kinachosubiriwa ni mageti ya kuzuia maji, na hilo halijazuia kazi ya ujenzi wa bwawa kuendelea.
Na wewe inaonekana huelewi. Mageti yapo tayari ill crane na kuyashusha na ambazo zinafungwa moja kwa moja ill zitumike kuyafungua na kufunga wakati wowote ndio zilizokuwa zinaelezwa. Zinafungwa moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom