miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,709
Kwa ushauri wako Nala vs Ihumwa wapi nichukue kiwanjadodoma inakuwa sana kimiundombinu na mpangilio wake uko vzuri sehemu nyingi
Kwa ushauri wako Nala vs Ihumwa wapi nichukue kiwanjadodoma inakuwa sana kimiundombinu na mpangilio wake uko vzuri sehemu nyingi
Niuzie mie icho kiwanjaHivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani?
NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
Mnapatikana wapi?UVIMO
Umoja ulio sheheni wataalam mbalimbali wa kada ya ujenzi.
Tunatoa ushauri na kujenga, ukiwa umejiandaa vema tunakukabidhi nyumba ikiwa tayari imeisha.
UVIMO shuguli zetu ni:
1-Kjenga nyumba.
2-Kupiga lipu
3-Kuskim
4-Rangi
5-Bandaring na kufunga bodi
6-Milango ,madirisha na magril
7-Kupaua
8-Kuweka tiles
9-Wayaring za umeme.
10-Chemba za vyoo
11-Kupaua
12-Kuchimba mashimo ya maji na vyoo.
13-KuSHAURI KUHUSU NYUMBA.
Wasiliana nasi kwa
0629361896
0753961896
Amchek McKiherehere pale kwao naona ameweka getting tu.Anza tu na hiyo hiyo. Utakapokwamia, utaongeza nyingine.
tofali 900 toka msingi au?mkuu vp kuhusu vibali kutoka serikalini ni vp na vina gharimu kiasi gani?
kwa sasa bora Ihumwa maana ni karibu na wizara zote.Kwa ushauri wako Nala vs Ihumwa wapi nichukue kiwanja
Njoo nikiuuzie pagale Nzuguni 0712785395Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani?
NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
Unaweza Jenga vyumba viwili choo,bafu na sebule Hadi kupauaHivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani?
NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
Mkuu kwema.Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani?
NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?