Hao unamchagua mmoja kama simba anavyomchagua nyumbu mmoja ktk kundi la nyumbu unampa kitu familia yake ihangaikenae hospitali zote, kwa waganga wote, kwa Mashekhe na Wachungaji mpaka anaingia kaburi huku akiwaachia umasikini ndugu zake jamaa na marafiki. Usidili na mamlaka, chagua kiherehere 1 wa sampo. Halafu kimyakimya.
Hii kweli kete ngumu.Hao unamchagua mmoja kama simba anavyomchagua nyumbu mmoja ktk kundi la nyumbu unampa kitu familia yake ihangaikenae hospitali zote, kwa waganga wote, kwa Mashekhe na Wachungaji mpaka anaingia kaburi huku akiwaachia umasikini ndugu zake jamaa na marafiki. Usidili na mamlaka, chagua kiherehere 1 wa sampo. Halafu kimyakimya.
Hakuna namna ubaya ubaya tu.Hii kweli kete ngumu.
Mkuuu Kama umefunga biashara unafanya nn sasa Kama hutojali tukutane tupange nn cha kufanya nna kimtaji kidogo na mm
i. Persons who are not VAT registered with a turnover ranging from TSHS 14 million and above per year;Hiyo mashine ni kwaajili ya wateja wanaofanya mauzo/mtaji kuanzia 14M.
Wewe mbona mauzo yako ni kawaida tu?
Kolomije arudi nani labda wao vuka boda tu nchi za Jirani mbona tutapiga hela tu, tafuta kibali chao kihalali tu unapiga pesa tu, bongo ni sehemu ya kuja kuzikiwa siku ukifa sio ya kufanya biashara.Niko mbion kufunga duka la vifaa vya ujenz, mwez 4 huu linasoma -ve tuu..ni use*nge mtup..hyo mashine ya efd ni changamoto,wanavyoidai utafkir walinikopesha..nmegoma,siinunui na nafunga biashara mwez ujao..au mwez huu,si ndo wanavotaka hiv wote turud kolomije..