Kwa mfumo huu wa TRA wengi tutafunga Biashara

Ila kweli sisi wananchi sio kwamba hatupendi kulipa kodi lahasaha ila tunanyanyaswa sana jamani walipa kodi na pia elimu kwa mlipa kodi ni ndogo sana,bado hatujapewa elimu itakayotusaidia walipa kodi kutambua haki zetu,wapi ni halali yetu na wapi sio,
 
TRA wana jukumu kubwa la kuwajengea uwezo wafanyabiashara.....

Lakini imekuwa ni tofauti ... TRA ni kama wana bifu na Wafanyabiashara
 
Wafanyabiashara wengi hawana Elimu ya kulipa kodi. .

Nimenunua bidhaa imekaa dukani miezi minne halafu niilipie kodi sawa na bidhaa iliyotoka siku hiyo hiyo.
 
Hao unamchagua mmoja kama simba anavyomchagua nyumbu mmoja ktk kundi la nyumbu unampa kitu familia yake ihangaikenae hospitali zote, kwa waganga wote, kwa Mashekhe na Wachungaji mpaka anaingia kaburi huku akiwaachia umasikini ndugu zake jamaa na marafiki. Usidili na mamlaka, chagua kiherehere 1 wa sampo. Halafu kimyakimya.
 
Hii kweli kete ngumu.
 
Duh yaani inashangaza unamfungia mtu duka ambalo ndo chanzo chake cha mapato na hapo hapo alipe kodi, unamfungia halafu ndo aje kulipa hiyo kodi kwanini asipewe muda wa kulipa hiyo kodi kwa taratibu since duka litakuwepo na mzunguko wake utaendelea. Njia rafiki ndo jambo la msingi tofauti na hapo kodi bado itakwepa kwakuwa ipo pale kukomoa raia. Gaweni mashine bure au kwa bei nafuu zaidi make zinakusanya mapato yenu halafu kaeni msubiri kodi zenu. Kodi inakusanywa kwa ubabe na madaha na bado maisha yanazidi kupanda sasa msaada tutautoa kwa nani???? hii ni zaidi Shithole.
 
Yaani nalichukia hili gari na dereva wake watatuua aisee sio Kwa mwendo huu. Dereva mwendawazimu na makondakta vichaa wao ni kudai nauli kila saa
 
Yaani kumfelisha Mtu kwao ndio kipimo cha ufanisi.

Nadhani siku chache baadae wakipita wakakuta umefunga wanagongeana mikono na kufurahia ushindi.
 
Hiyo mashine ni kwaajili ya wateja wanaofanya mauzo/mtaji kuanzia 14M.
Wewe mbona mauzo yako ni kawaida tu?
i. Persons who are not VAT registered with a turnover ranging from TSHS 14 million and above per year;

ii. Traders trading in the Region’s prime areas, identified on the basis of rent payable;

iii. Traders dealing with selected business sectors such as Spare Parts, Hardware, Mini Supermarkets, Petrol stations, Mobile phone shops, Sub wholesale shops, Bar and Restaurants, Pharmaceutical Stores; Electronic Shops etc.

The system is ongoing and the Authority shall gradually be registering traders basing on traders business prosperity, experience and capacity
 
Niko mbion kufunga duka la vifaa vya ujenz, mwez 4 huu linasoma -ve tuu..ni use*nge mtup..hyo mashine ya efd ni changamoto,wanavyoidai utafkir walinikopesha..nmegoma,siinunui na nafunga biashara mwez ujao..au mwez huu,si ndo wanavotaka hiv wote turud kolomije..
Kolomije arudi nani labda wao vuka boda tu nchi za Jirani mbona tutapiga hela tu, tafuta kibali chao kihalali tu unapiga pesa tu, bongo ni sehemu ya kuja kuzikiwa siku ukifa sio ya kufanya biashara.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom