Kwa mfano . . .

Kwa mfano . . .

Kwa mwanaume Inawezekana sana... Nyie pesa imewazidi nguvu mnashawishika sana
Swala siyo kumtambua mwanaume bikira swala ni kwamba wanawake wakijitunza hadi ndoa si sawa na kusema wanaume nao wajitunze au? Au wakati wanawake wanajitunza hao wanaume watakuwa wanafanya na kina nani?

Si nao itabidi wajitunze maana hakuna watakokuwa wanapata mchezo? Ndo maana nikauliza ukisema wanawake wote wajitunze hadi ndoa ina maana na wanaume nao wawe tayari kujitunza hadi ndoa? Sasa swali ni je mnaweza?
 
Ni Mwanaume, Na mwanamke akishawishika ujue ndio atakaa kundi la wale ambao hawataolewa kwa sababu hawana bikra.. Lakini mwanaume ataoa mwanamke bikra, hatakama mwanaume alishasex
Sasa anayemshawishi mwenzie kupitia hizo pesa huwa ni nani?
 
Ni Mwanaume, Na mwanamke akishawishika ujue ndio atakaa kundi la wale ambao hawataolewa kwa sababu hawana bikra.. Lakini mwanaume ataoa mwanamke bikra, hatakama mwanaume alishasex
Basi mwanaume ukishaona umewahi kufanya sex na mwanamke kabla ya ndoa usilazimishe kuoa mwanamke bikira maana kumbuka hilo likifanywa na kila mwanaume basi kutakuwa mabikira wachache sana

Kama wewe umeshiriki katika kuivunja bikira ya mwanamke mmoja au zaidi basi jua kuwa hata wanaume wengine nao wameshiriki katika kuvunja bikira za wanawake wengi pia kwahiyo mwisho wa siku mabikira watabaki wachache na wanaume wote hamuwezi kuwaoa hao mabikira lazima wengine mtarudi kwa hawa hawa tu ambao mlishawapitia

Yaani bado hakuna logic ya kusema eti mwanamke ajitunze halafu mwanaume asijitunze sasa mwanaume asipojitunza atafanya na nani? Mkisema wanawake wajitunze automatically mnamaanisha na wanaume nao wajitunze

Kwahiyo mtatakiwa kuacha kutongoza hovyo na kubaka wanawake haiwezekani tendo ambalo linahusisha jinsia mbili likatazwe kwa jinsia moja halafu liruhusiwe kwa jinsia nyingine yaani wanaume bwana hamjuagi hata mnachokitaka
 
Imagine kuhusu dada zako na ndugu zko wa kike...............
 
Uko south africa kuna kabila ambalo wasichana wote bikra wanapewa priority...ktk huduma za kijamii kama kusoma bure. Hiii inasaidia wasichana kujitunza
 
Dah wanaume tungekuwa tunapiga punyeto balaa...mambo mengine wanaume na sie tuwe tunashukuru, hawajit**bi wenyewe, ni sie ndo tunawala...then hiyo kitu ya kutunza bikra inaharibu sana mabinti, nenda zile jamii zinazothamini hiyo kitu uone mabinti walivyoharibika kutoa nyuma ili kulinda mbele aonekane bikra...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom