Kwa mfano kila mwana JamiiForums mwakani ( 2025 ) wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu akipewa nafasi ya Kumuuliza Swali Rais Samia Wewe utauliza lipi?

1:Eleza kwa kinaga ubaga kilichofanya ufukuze wamasai wenye Tanganyika Yao kuhama makazi yao ya Asili kuhamia Ugenini??Wangefukuzwa ndugu zako Wapemba wauza vitambaa vya satini Kariakoo ungefurahi???

2:kipi kimefanya ukauza Bandari ya Tanganyika??kama kwa maslahi mapana ya taifa kama mnavyodai,kwanini mlifanya Siri na hamkutaka mjadala wa wazi??au kusikiliza maoni ya wengi ambao hatukutaka??mnatuupuza?? Charity begins at home,why hujawapa Bandari za Zanzibar hao deep word??

3:La mwisho mfanyieni mpango Lucas mshamba hata kua muenezi wa chama,mpiga debe mzuri atawafikisha mbali,kama mlimpa makonda atashindwa Luka??,enhee nimekumbuka, who's your daddy?
 
Back
Top Bottom