Kwa members wote wa jukwaa hili

Kwa members wote wa jukwaa hili

Shikamoo umeiomba, kuitikia kigugumizi. Hivi ukiwa mwezini waweza kunywa Asprin?

Hahahaha....shkamoo mwisho Chalinze.

Usinambie leo uko kwenye unajimu. Usijali we ninywe tu mi ntakuwa tiba yako.
 
Last edited by a moderator:
karibu mkubwa ila kuwa mwangalifu huku!
ukitoa mada za kipuuzi huku utahama jukwaa bila kupenda!!!!
 
A very honest question, binti wangu anaumwa tumbo, ndani nina Asprin tu na kuna mtu kaniambia haifai kwani inasababisha damu isigande ndio maana nimeseek another opinion
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom