Kwa members na wasio members hapa jf! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa members na wasio members hapa jf!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kubingwa, Dec 31, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [h=6]Rafiki zangu ukiona binaadam anajiona imara mbele ujuwe nyuma ni dhaifu,na ukiona anajiona upande wake wa kulia ni imara ujue kushoto kwake ni dhaifu,pia ukiona amejiimarisha kila sehemu jua nidhaifu kila sehemu, kwa kuwa nami ni sehemu ya binaadam namini sikuwa sahihi kila wakati humu JF,hivyo ningeomba samahani kwa wale wote comment zangu ziliwakwaza kwa njia moja au nyingine.
  Baada ya kusema hayo;
  Nawatakia Kheri ya Mwaka Mpya,Tuimarishe Amani,Mshikamano na Upendo!
  Mungu Awabariki saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!.
  [/h]Happy New Year - 2012!
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  safi sana mkuu naamini Mwenyezi Mungu atatuvusha salama
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  tumekusikia, asante, heri ya mwaka mpya pia.
   
 4. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mkuu hiyo rangi dah! Unge2mia ingine, her ya mwaka mpya '12
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Kumbe una busara hivyo!
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  na kwako pia
   
 7. The wan

  The wan Member

  #7
  Dec 31, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakutakia heri na baraka ya mwaka mpya
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,092
  Likes Received: 2,969
  Trophy Points: 280
  Mwaka unatokea wapi?
   
 9. M

  Myn17 Senior Member

  #9
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sante Uwe wenye kheri na kwako.
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mpaka leo unajua ku browse hapa jf hujui mwaka unakotokea?
   
 11. clet 8

  clet 8 JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,020
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Atiiii................Umesema! Ahaaa, asante
   
 12. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,636
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  heri ya mwaka mpya na wewe pia.
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mbinguni !
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Eimen!!!!
   
Loading...