Unamfunga mpinzani wako mikono halafu unajisifu umempiga..Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
Madam sisi tunasemaKifo ni kifo tu, leo ni siku ya kuchukua fomu waliokufa wamekufa.
Kodi unalipa saa ngapi mbona muda wote unazurula jamii forumKodi zetu zinaendelea kuteketezwa
Nacheka kama mazuri, Kweli Mungu sio mwanadamuPole sana
OCTOBER TUNATIKI ✅
Umeishia darasa la ngapi wewe lofaa.... Ndiyo maana mnaambiwa shule ni muhimuKodi unalipa saa ngapi mbona muda wote unazurula jamii forum
anashindana na KIVULI chake mwenyeweWasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
House girly wako unampeleka hotel ya nyota 5 huo si upumbavu umeshindwa hata kumpeleka stooWasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
MTAKUFA KWA ROHO MBAYA ZENU YAANI MNAUMIA KWELI SIJUI MLITAKA NANI AWE RAIS?Kifo ni kifo tu, leo ni siku ya kuchukua fomu waliokufa wamekufa.
Una umri gani wewe?Kodi unalipa saa ngapi mbona muda wote unazurula jamii forum
Yeyote atakayejitokeza, kama hawakutokea basi tutajinyakulia ushindi wa bwerere na kuondoka kwenda kuwahurumia wananchi........hilo ndo la umuhimu.Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???