Kwa mazuri haya, utawezaje kuing'oa CCM madarakani?

Kwa mazuri haya, utawezaje kuing'oa CCM madarakani?

Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

kweli kabisa kwa haya ya kukusanya na kugawiyana mchana hadharani kweupe kwenye masandarusi,viroba,mifuko ya Rambo mfano escrow,Richmond,kagoda,meremeta,pembe za ndovu, hali duni ya wananchi,gharama za maisha zimepanda kwa zaidi ya 100%,matumizi mabovu ya rasilimali na offisi za Uma kufanywa kitengo cha biashara,madawa ya kulevya,mazao ya wakulima kukosa dhamani kwenye soko la dunia,kodi kubwa kwa watanzania,misamaha ya kodi holela,familia ya raisi kujilimbikizia mabilioni,ongezeko la deni la taifa,ufujaji mkubwa WA pesa za maendeleo,mikakati na mipango mibovu isiyotekelezeka et al.
 
Tegemea haya mambo yatazidi kuwepo milele na milele amina, ccm oyeee

1. Wanawake kujifungulia Sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya Miti

3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege

5. wizi wa ESCROW

6. Ufisadi wa EPA

7. Ufisadi wa RICHMOND

8. Ujangili Uliokithiri

9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk

13. Huduma duni za Afya

14. Huduma Mbovu za Elimu

15. Ukosefu wa Maji

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika

17. Gharama kubwa za Umeme

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana Nyumba za Serikali

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi

31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira

32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime

33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta

35. Mabomu ya Arusha

36. Uvamizi wa vituo vya Police

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi

38. Mabehewa Feki ya Treni –

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo

mkuu nikiona hyo orodha yako machozi yananitoka. ccm na mawakala wao wameifanya Tanzania shamba la bibi sehemu ya kujipigia na kusepa. Oct 25 watanzania tusifanye mzaha tufanye mamuzi ya busara na uhakika. Tumpe kura zetu Edward lowassa kwa Tanzania mpya na tuipendayo. Oct 25 ccm out kabla ya misa ya pili. Mabadiliko na lowassa ni lazima.
 
mkuu anachofanya magufuli ni Hadaa kwa wadanganyika huwezi ukawa unaishi kwenye shimo la choo ukatoka msafi bila kinyesi,funza au harafu haiwezekani

ccm na na magufuli ni wale wale tu

Ni nafuu kuwa mbwa kachoka, kulikoni mtu kupewa ahadi na mtu ambaye hajawahi kuwa dereva na akamwamini 100% kuwa ni dereva mahili sana. Ukiona mtu hisia zinatawala akili zake ujue ni balaa tupu.
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

Subira yetu inaishia 25.10.2015.Tumechoka na umaskini wa kipato,ukosefu wa maji,kukatika katika kwa umeme,makazi holela,elimu duni,matibabu hakuna,migogoro ya ardhi,utawala mbaya,miundombinu duni,bei mbovu ya mazao,kupanda kwa gharama za maisha na rushwa iliyokithiri!!#HapaZikaTu
 
Tegemea haya mambo yatazidi kuwepo milele na milele amina, ccm oyeee

1. Wanawake kujifungulia Sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya Miti

3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege

5. wizi wa ESCROW

6. Ufisadi wa EPA

7. Ufisadi wa RICHMOND

8. Ujangili Uliokithiri

9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk

13. Huduma duni za Afya

14. Huduma Mbovu za Elimu

15. Ukosefu wa Maji

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika

17. Gharama kubwa za Umeme

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana Nyumba za Serikali

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi

31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira

32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime

33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta

35. Mabomu ya Arusha

36. Uvamizi wa vituo vya Police

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi

38. Mabehewa Feki ya Treni –

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo

Tuongezee
43. Kodi inayopanda kila kukikucha kwenye mitandao na Umeme.

44. Ufisadi katika UDA na MIKATABA mibovu kwenye barabara ya MWENDOKASI dar.

45. KODI kubwa wanayokatwa WATUMISHI wa serikali

46. GHARAMA za MATANUZI ya raisi nchi za nje.

47. Kuporomoka kwa SHILLING na Kuikombatia Dolla.

48. Hujumu uchumi kwa ongezeko la bidhaa kila leo.

49. LUGHA CHAFU "wapumba.vu na Malofa"
 
Nampongeza mh Luwasa kea kuweka kipaumbele namba moja Elimu 2.Elimu 3
Elimu...maanal hawa watu wanakosa elimu kabisa...muineni alicholeta mleta mada....
 
Tanzania hatukutakiwa kuwa hapa tulipo, tukifanya kosa la kuiweka CCM tena hata Burundi watatupita
 
Natamani kuichagua ccm hapo tarehe 25 .10.2015 ila nimekosa mtu wa kunishawishi why niipigie ccm maana pamoja na rasilimali za Taifa kuongezeka maisha bado ni magumu,huduma za kijamii kwa maana ya elimu,afya na huduma zingine ni mbovu kuliko wakati tunapata uhuru.kwa mfano mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 watoto waliofeli ndio waliokuwa wanatafutiwa nafasi shule za binafsi huku tuliofaulu tukiwa shule za umma,tuliofauli zaidi tulikuwa tukipelekwa shule za umma za watoto wenye vipaji maalumu kama vile Mzumbe,Ilboru,Msalato,Kilakala,Tabora boys na girls.leo mambo yamekuwa tofauti waliofaulu ndo wanaenda shule binafsi kwa sababu ndo kwenye elimu bora,walimu wazuri,vitabu,ndiyo kwa nini zisiwe bora wakati zingine zinamilikiwa na viongozi wetu wa chama na serikali,prof Tibaijuka aliwahi kunukuliwa akisema ile 1.6 bilioni ilikuwa ya shule yake,je ni kiasi gani cha fedha kilipelekwa mzumbe,Kilakala,azania,Tambaza,Kigoma sec nk.je wakizihudumia shule za umma vizuri ni nani atasoma kwenye shule zao? gharama za uzalishaji wa bidhaa nchini Tanzania ni kubwa sana kutokana na bei ya umeme,mafuta ,vipuri na pembejeo Kuwa juu na hii inatokana na viongozi wetu kuwa wawekezaji au wafanyabiashara katika maeneo hayo au moja kwa moja AMA kwa mgogo wa nyuma.why bei isiwe juu? Nashangaa mkulima anayeishabikia ccm,maana kwa kufanya hivyo ni kukumbatia umasikini wako.hakuna namna kwa sasa Mchele wa Ifakara,Kyela,Bahi au Shinyanga utakuja Kuwa bei sawa na Mchele ulioingizwa nchi toka India kwa mfano?kutokana na gharama za uzalishaji Kuwa juu jumlisha na ukosefu wa elimu na hivyo uzalishaji kwa eneo kuendelea Kuwa mdogo,no way mkulima wa Tz atatoka kwenye ufukara..40%ya eneo la Tanzania linafaa kwa Kilimo,hata hivyo nchi yetu bado inaagiza Mchele,Ngano,sukar,matunda,kutoka nje,wakati idadi ya watanzania wenye uwezo wa kula kesho bila kufanya Kazi Leo ikiongezeka,asilimia kubwa wakiamuka asubuhi swali la kwanza wana jiuliza mchana wa Leo tutakula nn?tunafikiria chakula tu kiasi Kwamba elimu ya watoto wetu,afya ya watoto wetu si muhimu tena,maradhi kama kipindupindu na malaria yamekuwa marafiki wetu wa kudumu.please nisaidieni na Mimi niichague ccm maana yawezekana Mimi ni kipofu sioni

UKICHAGUA CCM inaonesha wazi kwamba kilio chako kitakuwa kimesikika tatizo lao wameweka pamba masikioni mwao hawawezi kusikia ndugu. Cha MSINGI sote ni waTZ tubadilike watakuwa wasikivu wakikosa madaraka mwaka huu. MAGUFULI atawale 2025 si sawa tu au vipi? LAKINI mwaka huu apishe MAFURIKO yenye MAHABA na UKAWA.
 
utafiti wa Twaweza unaonyesha kuwa 69% ya
watanzania ambao hawajasoma kabisa
(mburura) ndio wanamkubali Magufuli.
 
Tegemea haya mambo yatazidi kuwepo milele na milele amina, ccm oyeee

1. Wanawake kujifungulia Sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya Miti

3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege

5. wizi wa ESCROW

6. Ufisadi wa EPA

7. Ufisadi wa RICHMOND

8. Ujangili Uliokithiri

9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk

13. Huduma duni za Afya

14. Huduma Mbovu za Elimu

15. Ukosefu wa Maji

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika

17. Gharama kubwa za Umeme

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana Nyumba za Serikali

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi

31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira

32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime

33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta

35. Mabomu ya Arusha

36. Uvamizi wa vituo vya Police

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi

38. Mabehewa Feki ya Treni –

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo

Chini ya jembe Magufuli, nchi itanyoooka itakaa sawa. just be patient na tumpe kura
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

Vyama vya upinzani vitabakia kualikwa Ikulu.
 
twiga wanaopanda ndege wameongezeka kutoka 20 000 hadi 50 000.
 
mkuu nikiona hyo orodha yako machozi yananitoka. ccm na mawakala wao wameifanya Tanzania shamba la bibi sehemu ya kujipigia na kusepa. Oct 25 watanzania tusifanye mzaha tufanye mamuzi ya busara na uhakika. Tumpe kura zetu Edward lowassa kwa Tanzania mpya na tuipendayo. Oct 25 ccm out kabla ya misa ya pili. Mabadiliko na lowassa ni lazima.

Yani mie nikiiona hii mwili unakufa ganzi cha ajabu watu bado wanakomalia tu ccm
 
Kweli aisee hujakosea kabisa

Rasilimali za nchi na pato la taifa haziendi sambamba na huduma ya jamii hasa kwa walio wengi hasa vijijini.Umasikini walio nao na kukua kwa uchumi haviendi sambamba kiasi kumewafanya walio wengi kukata tamaa, na kuichukia serikali iliyopo madarakani.Nadhani mleta uzi huu ,hamsikilizi mgombea urais kupitia ccm.Kila mara anapohutubia amekuwa akilalamikia uduni wa huduma za jamii na ubovu wa utawala bora kiasi kuwa inaonyesha hakukuwa na serikali kwa muda wote wa miaka kumi inayoishia octoba 25,2015.Kwahiyo mimi navyofahamu ccm inafanya kampeni hizi kwa kutumia propogada na pesa nyingi ilizonazo, vinginevyo,isingefanya kampeni kabisa.Kimsingi haiwezekani miaka kumi ya shule za kata hakuna maboresho.hakuna maboresho kwenye shule za msingi, hakuna maboresho kwenye huduma ya afya hasa ya msingi.Kijana acha ushabiki wa kiasiasa nenda vijijini uone jinsi watu wanavyoishi maisha mabovu yasiyofaa.Kusema serikali ya ccm imefanya makubwa ni kutukana watanzania
 
Tanesco wanaongea lugha rahisi inayoumiza asilimia kubwa ya wananchi..!!
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

kweli nimeamini tunapenda namba lakini hatujui hesabu. mwaka 2005 us$ moja iliku ni shillingi 900 za kitanzania leo ikoje? ukienda sokoni unapata embe kwa shillingi 100 leo hali ikoje?
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu
Vipi Mzee umepiga hesabu mwaka 2010 bei ya shilingi ukilinganisha na Dola ilikuwa kiasi gani?
Jee umepiga hesabu mfumuko wa Bei kwa kipindi cha miaka 5 ni kiasi gani?
Pengine ni bora 390 Billion za mwaka 2010 kulikoni 850 za mwaka 2015

Kama sio hivyo maana yake wananchi tumetolezwa kodi mara 3 zaidi ambayo hailingani na kasi ya maendeleo tuliyoitarajia
 
Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
 
Back
Top Bottom