Kwa mazuri haya, utawezaje kuing'oa CCM madarakani?

Wanaoisifia CCM kuwa imefanya mazuri ni mbwa kachoka ambao wanasubiri kurushiwa makombo na mabwana zao ili waweze kujipatia mlo wa siku.

Kwa mtu anaeijua CCM kama Magufuli na wapiga debe wake ambao wanakula vinono ndani ya CCM hawawezi wakaizungumzia CCM kwa mazuri kwa kuwa mabaya ndio yaliyotawala ndani ya CCM zaidi ya mazuri.

Wanaona hata aibu kuitaja CCM majukwaani badala yake Magufuli ndiye amegeuka kuwa CCM mwenyewe kwa kuwa CCM halisi imechafuka wanaogopa hata kuitaja kwa kuwa kuitaja CCM ni sawa na kujipaka kinyesi cha chooni.
mkuu anachofanya magufuli ni Hadaa kwa wadanganyika huwezi ukawa unaishi kwenye shimo la choo ukatoka msafi bila kinyesi,funza au harafu haiwezekani

ccm na na magufuli ni wale wale tu
 
DAaah yaani ukiwa ccm lazima critical thinking ifyatuke sio kidogo maana hakuna namna ya kuitetea ccm kwa kutumia critical points and reasoning.
 
Kuna watu nahisi ni mandondocha

Japokuwa sijawahi kuona ndondocha still I believe them to be a little more smarter than the man in question. Huyu ni beyond repair.

Shida moja ni kwamba, akisha andika huu uharo hapa 7,000 yake anayopewa Lumumba haikatwi P.A.Y.E kwa hiyo akikaa chini kushangilia mapato ya ndani yanayoletwa na jasho langu kwa PAYE, ada zisizo na msingi zinazotozwa kwenye vyombo vya moto, kodi kubwa kwenye nishati (ilhali bado wanajinadi kuwa watunza mazingira) na dhuluma nyingine za kimapato, sitamshangaa.

Kuna boda boda imeandikwa kwenye mud guard : UKIONA MTU AMENG'ANG'ANIA KWENYE GARI BOVU, UJUE KUNA MZIGO WAKE
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

Can you convert that in DOLLAR please ?

yani mnafanya Inflation na kutufanya sisi wajinga ?
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

We ni mjinga si mpumbavu ukieleweshwa utaelewa ccm haina vision mpaka ss hv zaid ya kuwa mgodi wa kuzalisha mafisadi
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

Ukuaji wa pato? Then?? Bei za mazao zimezidi kushuka, watu wamekuwa maskini zaidi, mishahara ya watumishi wa umma duni, huduma za kijamii hospital, maji, shule nk hovyoo kabisa. Jiji la Dar ni chafu limejengwa kiholela, leo tunaongea kipindipindu watu wanakula mavi leo karne ya 21. Foleni ndio usiseme, watoto wetu bado wanasoma chini ya miti. Nchi haina direction tumeshindwa hata kuuza mahindi na viazi...
 
CCM mmefanya mengi na pia haina haja ya kutumia nguvu kubwa sana kwenye kampeni, wananchi watayapima tuu mafanikio ya serikali ya ccm na kura mtapata kwani si wana macho??
 
sio Ana wa chama chako tena! Umeona za Anna hazitatosha mkaamua kumunga mkono Magufuli na ccm yake. Mtaweweseka sana mwaka huu ila ujue na za Magufuli hazitatosha
Kuanzia diwani,mbunge ni ACT, RAIS MAGUFULI
 
Ikiwa Magufuli mwenyewe anasimama jukwaani na kuponda serikali ya CCM wewe ni nani hasa wa kutuambia CCM imefanya vizuri.
Mtu anayesifia pumba za CCM, mirembe inamhusu kwa kweli.
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

I bet you had brain transplant from monkey
 
Natamani kuichagua ccm hapo tarehe 25 .10.2015 ila nimekosa mtu wa kunishawishi why niipigie ccm maana pamoja na rasilimali za Taifa kuongezeka maisha bado ni magumu,huduma za kijamii kwa maana ya elimu,afya na huduma zingine ni mbovu kuliko wakati tunapata uhuru.kwa mfano mpaka mwishoni mwa miaka ya 90 watoto waliofeli ndio waliokuwa wanatafutiwa nafasi shule za binafsi huku tuliofaulu tukiwa shule za umma,tuliofauli zaidi tulikuwa tukipelekwa shule za umma za watoto wenye vipaji maalumu kama vile Mzumbe,Ilboru,Msalato,Kilakala,Tabora boys na girls.leo mambo yamekuwa tofauti waliofaulu ndo wanaenda shule binafsi kwa sababu ndo kwenye elimu bora,walimu wazuri,vitabu,ndiyo kwa nini zisiwe bora wakati zingine zinamilikiwa na viongozi wetu wa chama na serikali,prof Tibaijuka aliwahi kunukuliwa akisema ile 1.6 bilioni ilikuwa ya shule yake,je ni kiasi gani cha fedha kilipelekwa mzumbe,Kilakala,azania,Tambaza,Kigoma sec nk.je wakizihudumia shule za umma vizuri ni nani atasoma kwenye shule zao? gharama za uzalishaji wa bidhaa nchini Tanzania ni kubwa sana kutokana na bei ya umeme,mafuta ,vipuri na pembejeo Kuwa juu na hii inatokana na viongozi wetu kuwa wawekezaji au wafanyabiashara katika maeneo hayo au moja kwa moja AMA kwa mgogo wa nyuma.why bei isiwe juu? Nashangaa mkulima anayeishabikia ccm,maana kwa kufanya hivyo ni kukumbatia umasikini wako.hakuna namna kwa sasa Mchele wa Ifakara,Kyela,Bahi au Shinyanga utakuja Kuwa bei sawa na Mchele ulioingizwa nchi toka India kwa mfano?kutokana na gharama za uzalishaji Kuwa juu jumlisha na ukosefu wa elimu na hivyo uzalishaji kwa eneo kuendelea Kuwa mdogo,no way mkulima wa Tz atatoka kwenye ufukara..40%ya eneo la Tanzania linafaa kwa Kilimo,hata hivyo nchi yetu bado inaagiza Mchele,Ngano,sukar,matunda,kutoka nje,wakati idadi ya watanzania wenye uwezo wa kula kesho bila kufanya Kazi Leo ikiongezeka,asilimia kubwa wakiamuka asubuhi swali la kwanza wana jiuliza mchana wa Leo tutakula nn?tunafikiria chakula tu kiasi Kwamba elimu ya watoto wetu,afya ya watoto wetu si muhimu tena,maradhi kama kipindupindu na malaria yamekuwa marafiki wetu wa kudumu.please nisaidieni na Mimi niichague ccm maana yawezekana Mimi ni kipofu sioni
 
Japokuwa sijawahi kuona ndondocha still I believe them to be a little more smarter than the man in question. Huyu ni beyond repair.

Shida moja ni kwamba, akisha andika huu uharo hapa 7,000 yake anayopewa Lumumba haikatwi P.A.Y.E kwa hiyo akikaa chini kushangilia mapato ya ndani yanayoletwa na jasho langu kwa PAYE, ada zisizo na msingi zinazotozwa kwenye vyombo vya moto, kodi kubwa kwenye nishati (ilhali bado wanajinadi kuwa watunza mazingira) na dhuluma nyingine za kimapato, sitamshangaa.

Kuna boda boda imeandikwa kwenye mud guard : UKIONA MTU AMENG'ANG'ANIA KWENYE GARI BOVU, UJUE KUNA MZIGO WAKE

Hahahaaaa kweli wewe ni Mwana Mtoka Pabaya!
Umetisha sanaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

Hivi zinakutosha zote ww?pato la taifa kukua llimetussaidiia vipi sisi wananch?hizo 850 billioni za kodi ambazo ni sisi wananchi ndo tumekamuliwa zimetusaidiaje sss wananchii maaana kila huduma zinazotakiiwa zitolewe na serikali ni ss tunagharamikia kwa mfano elimu,afya n.k,aliyekuambia utegemezi ummepungua nani?wakat mkuu wa kaya anazunguka na kapu lake akiombaomba,ww nenda kawadanganye watoto tena sio wa la drs la 1 na kuendelea bali wale wa vidudu ndo saaizi yako ya uelewa...
 
Back
Top Bottom