Kwa mazuri haya, utawezaje kuing'oa CCM madarakani?

Kwa mazuri haya, utawezaje kuing'oa CCM madarakani?

jaba jumah

Senior Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
150
Reaction score
50
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu
 
Shida yako unatumia reference ya hapahapa tanzania kwa serikali ileile ya ccm. Embu jaribu kufananisha na nchi zingine kulingana na rasilimali zlizopo.

Tukutane october 25.
 
Hapo unaona hata aibu. unavyosndika haya
 
Ukilinganisha utajiri wa raslimali lukuki za nchi.i hazilingani na maendeleo yaliyopo,ni aibu nchi yenye amani tangu 1961 iende kujifunza Rwanda,nchi yenye machafuko namna ya kukuza uchumi,tatizo la nchi i c sera wala wataalam,wasomi wako wengi na sera murua,adui mkubwa wa nchi i ni ccm
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu
Mkuu kwa uchumi huu mbona mbona tunao ongozwa mnaendelea kutudhurumu?. Kodi tuna Lipa directly na indirectly, maabara na madarasa tuna jenga, ulinzi shirikishi tuna changia, watumishi wa umma tunapanda madaraja mishahara haibadiliki.
 
Tegemea haya mambo yatazidi kuwepo milele na milele amina, ccm oyeee

1. Wanawake kujifungulia Sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya Miti

3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege

5. wizi wa ESCROW

6. Ufisadi wa EPA

7. Ufisadi wa RICHMOND

8. Ujangili Uliokithiri

9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk

13. Huduma duni za Afya

14. Huduma Mbovu za Elimu

15. Ukosefu wa Maji

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika

17. Gharama kubwa za Umeme

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana Nyumba za Serikali

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi

31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira

32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime

33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta

35. Mabomu ya Arusha

36. Uvamizi wa vituo vya Police

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi

38. Mabehewa Feki ya Treni –

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo
 
Hujamalizia, misaada imepungua toka 42% hadi ngapi?

Baada ya misaada kupungua deni la taifa pia limepungua?

Wakati nchi ndogo kama eithiopia ambayo imekua kwenye vita miaka nenda rudi wameanza kutumia tren ya umeme sisi tunazindua vyoo vya shimo.

Kuitetea ccm unahitaji kua na akili ya sisimizi.
 
Kama CCM Imefanya Vizuri wala Hauna Shida ya Kuisemea Kwani Kizuri Cha Jiuza.

Tukutane tarehe 25/10 Ndipo Hasira za Wananchi Mtazitambua.
 
Hawa watu ccm iliyo waajiri pale Upanga kujibu mapigo mitandaoni hawajui kazi yao
zero thinking power
 
Wanaoisifia CCM kuwa imefanya mazuri ni mbwa kachoka ambao wanasubiri kurushiwa makombo na mabwana zao ili waweze kujipatia mlo wa siku.

Kwa mtu anaeijua CCM kama Magufuli na wapiga debe wake ambao wanakula vinono ndani ya CCM hawawezi wakaizungumzia CCM kwa mazuri kwa kuwa mabaya ndio yaliyotawala ndani ya CCM zaidi ya mazuri.

Wanaona hata aibu kuitaja CCM majukwaani badala yake Magufuli ndiye amegeuka kuwa CCM mwenyewe kwa kuwa CCM halisi imechafuka wanaogopa hata kuitaja kwa kuwa kuitaja CCM ni sawa na kujipaka kinyesi cha chooni.
 
Iv we chupi nkuulze k2 k1? Unakumbuka mwaka 2004 kulud nyuma sukar,mchele,unga ngano, kibert sabun ilikua bei gan na sasa bei gan naona unatoa mifano mavi wakat mifano hai IPO waz chunga domo lako km ujui kitu
 
Ukuaji wa pato la taifa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita,umekua kwa wastani wa asilmia 7 kwa mwaka
ukusanyaji wa mapato ya ndani umeongezeka kutoka wastani wa shillingi billion 390 kwa mwezi mwaka 2010 na kufikia wastani wa shilingi 850 billion kwa mwezi mwaka 2014/2015
misaada na mikopo ya washirika wa maendeleo kwenye bajeti ya serikali imepungua kutoka asiimia 42 mwak 2005 hadi kufikia mwaka 2015/2016,,utawezaje kuishinda ccm kwa mambo hayo upinzani mtasubiri sana mwaka huu

Takwimu yako haina weledi kabisa...yaani wewe n pungu moja kabisa swali dogo tu hilo ongezeko LA pato Kwa mwezi linaendana na lasilimali za taifa hili?..na.. hilo ongezeko LA mwezi linasadifu maisha watanzania kweli..?(hospital hazina dawa na kina mama kulala chini n.k) ebu tuambie deni aliloacha mkapa na deni analoacha mkwere ni sh ngap? Malizia kunywa uji wa mgonjwa uje ujibu swali hapa.
 
Sina hata muda wa kusoma huo upuuzi wako ulioandika maana hakuna cha maana.
Wangekuwa wametenda mazuri yangeonekana na sio mpaka tuandikiwe ndio tusome.
 
Ni kweli CCM ilaumiwe kwa matatizo mengi ya watanzania. Lakini mharibifu mkuu CCM ilimkataa ili kuliokoa Taifa. JP Magufuli PhD... Ndiye mkombozi wetu.
 
Back
Top Bottom