Kwa matokeo haya atachukuliwa?

Kwa matokeo haya atachukuliwa?

Jileka

Senior Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
186
Reaction score
114
Habari za mda huu wadau...
Naombeni mnisaidie, nina rafiki yangu ana diploma ya ualimu, na result slip yake inaonesha ana GPA ya 2.9, lakini kwenye cheti ameandikiwa PASS. Sasa anahitaji akasome degree ya hiyo hiyo fani yake, vipi kwa matokeo hayo wataweza kumchukua?

Nawasilisha wakuu....
 
GPA ni kuanzia 3,ndo wanachukua kwenda kusoma degree so labda wakibadilisha and tembelea TCU wametoa muongozo na wamesema GPA ni 3.
 
ni 3G tu tukimaliza mchakato wa makinikia tutashusha mpka 2G
 
Naomba kuuliza swali wakuu kuhusu second selection. Je ni kweli utajiunga kidato cha tano kwa awamu ya pili ikiwa Jina lako ni miongoni mwa majina yaliyotaarifiwa na wizara husika kuwa utajiunga na kidato cha tano kwa awamu ya pili??
 
Back
Top Bottom