Kwa matatizo ya gari


mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,469
Likes
12,264
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,469 12,264 280
Mkuu kama nimekuelewa basi hilo swala ni gumu sanaaa aachane nalo nigum sana garama zake ni bora akanunua gari yenye mfumo huo wa hybrid..

Lkn kama unamaanisha kubadili gari ya hybrid na kuwa ya kawaida basi inawezekana 100% mm binafsi nishafanya sana na juzi tuu nimefanya kwenye estima akitaka nitampa bajeti na vitu vyote vinavyotakiwa kikubwa cha kununua ni gearbox vingine kwenye engine ni vidogo dogo sana..na wiring unatumia ile ile ya hybrid mambo yanakuwa mswano
Youtube kuna jamaa mtaalama wa magari niliona anabadilisha 2wd kua 4wd,hio inawezekana mkuu kwa hapa bongo?
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,014
Likes
5,697
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,014 5,697 280
Toyota RAV4 ya 2002 iliisha brake pads, taa za ABS na Parking brake zikawaka. Baada ya kubadilisha pads hizo, taa hazijazima hata baada ya kutembea 2000km.

Wheel speed sensor seems like hazijawa disconnected.
No hapana mkuu na sio kweli..hakuna mahusiano ya ABS na HAND BRAKE warning lamp pamoja na brake pad..kwagari za toyota zingekuwa gari za europe na america sawa.

Ww hapo lazima kuna sensor ya ABS itakuwa imekatika au wakati wakubadilisha brake pad basi mafundi wali disconect sensor za abs so first aid hapo gari ichomekwe mashine au kama unaweza mpata fundi akakupimia manually sio mbaya atakupimia na kuflush then uone kama itaondoka au laa
 
mussa mashala jr

mussa mashala jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Messages
746
Likes
223
Points
60
Age
26
mussa mashala jr

mussa mashala jr

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2014
746 223 60
Mkuu hii kitu niliipata katika raum yangu lakini niligundua ukiendesha pasipo kufunga mkanda hiyo Alama inaonekana. Jaribu kufunga mkanda then tupe mrejesho hapa jukwaani
nafunga sana mkanda lakini ipo tu na si gari yangu tu ni takribani raum zote nilizofanyia uchunguzi
 
chambi1509

chambi1509

Senior Member
Joined
Mar 29, 2018
Messages
112
Likes
40
Points
45
chambi1509

chambi1509

Senior Member
Joined Mar 29, 2018
112 40 45
Mko salama wana JF? Natumai nyote hamjambo! Wanasema kuuliza sio ujinga, Styvo254 napenda kuuliza kitu kimoja chief! Kwenye automatic cars, kuna kitu kinaitwa OD (OVERDRIVING) hii OD inafaa kutumika wakati gani?, inafaida na hasara gani mkuu? Je , INA uwiano wowte na ulaji wa mafuta inapotumika?

Asante mkuu!
 
shangwe1

shangwe1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
336
Likes
190
Points
60
Age
30
shangwe1

shangwe1

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
336 190 60
Mimi mkuu naomba unieleweshe jinsi ya uendeshaji au utumiaji wa gearbox hizi automatic hasa kwenye hizi herufi P..R..N..D..2..L naomba unifafanulie matumizi yake mkuu
 
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
241
Likes
171
Points
60
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
241 171 60
VSC ni Vehicle Stability Control na hutumia ABS kuimarisha gari barabarani isije ikateleza na kipoteza mwelekeo.
4WD ilitokea pale ulipong'oa propeller shaft. Itakua ni stored code.
Ya airbag pia yaweza kua stored code pia.
Mkuu hebu nisaidie haya mataa yananiwakia kila nikitembea km 10-15.

Aina ya gari ni toyota rav 4 2006.

Nilifanya diagnosis
Check engine ni air filter sensor.
VSC sijui
4WD sijui but niliwahi toa propeller baada ya kujinyonga na nikairudishia baada ya kurudisha ndio mambo yote hayo yakaja...
Airbag imekuja tu from no where..

View attachment 905616
 
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
241
Likes
171
Points
60
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
241 171 60
Mkuu, asante sana kwa ushauri unaotoa hapa jukwaani

Swali langu ni je una maelezo yoyote kuhusu taa ya pembe tatu na alama ya mshanga ndani mwake inayowaka katika gari za toyota raum??! maana mwanzo nilidhani ni yangu tu ila nimefatilia kila raum inawaka hiyo taa hata kama imetoka japan jana, je technical problem toka kiwandani ama ni nini hasa!!!! Gari haisumbui

Pili, ni ATF ipi nzuri inayofaa kutumika kwenye raum??
Hiyo taa ni Caution/Onyo kua kuna tatizo. Diagnosis itabaini zaidi.
Tumia ATF ya Genuine Toyota ATF
 
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
241
Likes
171
Points
60
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
241 171 60
Mkuu usituchoke kwa maswali yetu..
Ni mabo gani yanasababisha gari kukosa nguvu au niseme halichanganyi upesi kama ilivyokuwa mwanzo..
Naona gari linapick 100kph kwa kazi sana tofauti na ilivyokuwa mwanzo.. ..
Gari hili nimewahi kubadili plug mara moja tu mwaka 2016 mpka sasa...
Siku za karibuni nimeweka transmission fluid mpya na oil natumia total quarts 9000 ila sijaona mafanikio ya kuongeza nguvu ya engine..
ushauri wako tafadhali...nifanye service ya vitu gani hapa
Kuna mambo kadhaa yanayotatuliwa na tune-up kama kukagua sensors na mitambo mingine. Ni bora likaguliwe vizuri na mtu anaye elewa.
 
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
241
Likes
171
Points
60
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
241 171 60
Ni vyema aiuze ile gari ya 2900 na anunue ya 2400. Kuna mambo mengi hasa ya umeme yanayokua specific kw engine/transmission na gari. Atakosana na mafundi bure na mwishoe aiuze hiyo gari kw hasaa. Kazi ya conversion sio rahisi; yahitaji makini, uvumilivu na pesa tele.
Kuna rafiki yangu ana Harrrier old model engine 2990cc anataka kuibadilisha na kuweka engine ya harrier hybreed 2400cc. Jee itabidi abadilishe na gearbox?
 
Mhandisi Mzalendo

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Messages
3,714
Likes
3,011
Points
280
Mhandisi Mzalendo

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2010
3,714 3,011 280
VSC ni Vehicle Stability Control na hutumia ABS kuimarisha gari barabarani isije ikateleza na kipoteza mwelekeo.
4WD ilitokea pale ulipong'oa propeller shaft. Itakua ni stored code.
Ya airbag pia yaweza kua stored code pia.
Je VSC inapowaka kuna shida???
Stored code naweza kuresolve vipi haya mambo?
 
mabwiku

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
381
Likes
243
Points
60
Age
33
mabwiku

mabwiku

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
381 243 60
mkuu naomba ushauri kuhusu terios kid,nataka kutoka nayo dar mpaka bukoba,nini cha kuzingatia Sana ktk safari yangu,naelewa kina engine ndogo lkn je kinaweza kupaform vizuri?
 
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Messages
241
Likes
171
Points
60
Styvo254

Styvo254

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2015
241 171 60
Itaweza safari kama ipo in good condition. Cha msingi ni kukumbuka engine (na pia gari lenyewe) ni ndogo kw hiyo usipatwe na tamaa ya kumpita mwenye Range au Benz.
mkuu naomba ushauri kuhusu terios kid,nataka kutoka nayo dar mpaka bukoba,nini cha kuzingatia Sana ktk safari yangu,naelewa kina engine ndogo lkn je kinaweza kupaform vizuri?
 
Benno Bongo

Benno Bongo

Member
Joined
Jun 10, 2017
Messages
21
Likes
13
Points
5
Benno Bongo

Benno Bongo

Member
Joined Jun 10, 2017
21 13 5
mkuu una garage yako? unapatikana wapi? kama hutojali naomba mawasiliano yako
 
komanyahenry

komanyahenry

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2017
Messages
360
Likes
327
Points
80
komanyahenry

komanyahenry

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2017
360 327 80
Mkuu kuna IST ukiendesha zaidi ya speed ya 80km/hr steering inakuwa kama inacheza na kuwa nyepesi then chini ya hand break (kwenye gearbox) inakuwa kama unaisikia inagongagonga. Msaada tafadhali inaweza kuwa na tatizo gani
 
chambi1509

chambi1509

Senior Member
Joined
Mar 29, 2018
Messages
112
Likes
40
Points
45
chambi1509

chambi1509

Senior Member
Joined Mar 29, 2018
112 40 45
Hbr mkuu Styvo254 ?
Gari yangu ni raum old model! Hivi punde imeanza shida zifuatazo! Mosi, ukiizima mpaka uje uibust kesho yake ! Nimebadilisha betri lakini tatizo bado lipo pale pale!
Pili, imemaliza hydrolic, naomba ushauri nitumie hydrolic gani mkuu?
Tatu, taa ya mafuta imezimika ghafla nimepeleka kwa mafundi lakini wameshindwa kuirejesha!
Naomba ushauri mkuu!
Asante
 
C

Cassablanca

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Messages
368
Likes
493
Points
80
C

Cassablanca

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2018
368 493 80
Mi naulizia tairi za za size gani zafaa kunyanyulia Toyota Raum new model ya 2005. Na nawezapata kwa shilingi ngapi.
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,371