TZ yetu JF-Expert Member Apr 13, 2012 375 198 Dec 8, 2012 #1 Mada: Mafanikio na changamaoto katika kuendea elimu bora nchini tanzania. Mwongoza mada ni prof: Joshua madumla-muhadhiri chuo kikuu cha dodoma.
Mada: Mafanikio na changamaoto katika kuendea elimu bora nchini tanzania. Mwongoza mada ni prof: Joshua madumla-muhadhiri chuo kikuu cha dodoma.
M Mat.E Member Dec 28, 2010 66 13 Dec 8, 2012 #2 TZ yetu said: Mada: Mafanikio na changamaoto katika kuendea elimu bora nchini tanzania. Mwongoza mada ni prof: Joshua madumla-muhadhiri chuo kikuu cha dodoma. Click to expand... Nasubiri, NIIJUE maana ya "Elimu bora"!!
TZ yetu said: Mada: Mafanikio na changamaoto katika kuendea elimu bora nchini tanzania. Mwongoza mada ni prof: Joshua madumla-muhadhiri chuo kikuu cha dodoma. Click to expand... Nasubiri, NIIJUE maana ya "Elimu bora"!!
Nokla JF-Expert Member Aug 12, 2012 3,170 1,711 Dec 8, 2012 #3 Mat.E said: Nasubiri, NIIJUE maana ya "Elimu bora"!! Click to expand... Kwa hiyo mada maana yake ni kwamba hatuna elimu bora ila ndio tunaendea kama sikosei!
Mat.E said: Nasubiri, NIIJUE maana ya "Elimu bora"!! Click to expand... Kwa hiyo mada maana yake ni kwamba hatuna elimu bora ila ndio tunaendea kama sikosei!
ndupa JF-Expert Member Jan 25, 2008 4,403 141 Dec 8, 2012 #4 E,IMU BORA VS UDOM!! plus na ile biashara yetu ileeeeee...mh mi napita!!
mansakankanmusa JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,163 787 Dec 8, 2012 #5 Wawape wanafunzi w waliomaliza vyei vyao, bodi na chuo wamekuwa wasanii wakubwa