kwa namna simba wanavocheza wakiwa ugenini ni tofauti kabisa wanapokuwa nyumbani.
1.Kocha wenu hana mbinu za kucheza nje na anashindwa kujua anacheza na timu gani
2. Wachezaji hawajitambui wanapofungwa wanakata tamaa wanashindwa kujua kuwa mpira dkk 90
3 Phisical fitness na stamina ndogo sana waarabu wana nguvu sana msione wanajIdondosha ile ni janja ya kupoteza muda
4. Beki line ya simba wanaruhusu sana wapinzani kuingia kwenye kumi na nane.
5. Msemaji wenu anawadanganya sana na wachezaji wanajiona kuwa wao ndo klabu bora Afrika wenye uwezo wa kucheza na Man City huku uhalisia unajulikanakuwa Simba ni timu kubwa hapa TZ
KWA WAARABU KULE CAIRO TUNAWEZA KUONGEA MENGINE ZAIDI YA YALE YA CONGO.