Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,642
- 2,921
Ile juzi nusura mpigwe 6-0 ila refa kawabeba kidogo mamaeee!!!yanga alipigwa 6-1 1998
Slogan "Yes we can" imepotea mazima
5/5.
Ile juzi nusura mpigwe 6-0 ila refa kawabeba kidogo mamaeee!!!yanga alipigwa 6-1 1998
Nadhani unataka kutonesha vidonda vya wana Nguvu moja hapa.
Mkuu, uongo au ukweli wa Shafii utajulikana baada ya mechi za makundi kuisha. Sasa hivi kila mtu ataongea kiushabiki zaidi.sio kweli alisema kabla ya mechi ya warabu.mechi ilivyoisha akajificha kwa mamaake
Mkuu nimekuelewa! Simba lazima wabadilike na wayaheshimu haya mashindano wasiyachukulie poa na lazima wajipange vizuri kwa mechi zijazo kama wana ndoto za kufika mbele.kwa namna simba wanavocheza wakiwa ugenini ni tofauti kabisa wanapokuwa nyumbani.
1.Kocha wenu hana mbinu za kucheza nje na anashindwa kujua anacheza na timu gani
2. Wachezaji hawajitambui wanapofungwa wanakata tamaa wanashindwa kujua kuwa mpira dkk 90
3 Phisical fitness na stamina ndogo sana waarabu wana nguvu sana msione wanajIdondosha ile ni janja ya kupoteza muda
4. Beki line ya simba wanaruhusu sana wapinzani kuingia kwenye kumi na nane.
5. Msemaji wenu anawadanganya sana na wachezaji wanajiona kuwa wao ndo klabu bora Afrika wenye uwezo wa kucheza na Man City huku uhalisia unajulikanakuwa Simba ni timu kubwa hapa TZ
KWA WAARABU KULE CAIRO TUNAWEZA KUONGEA MENGINE ZAIDI YA YALE YA CONGO.
Hao wakongo wenzako walichotufanyia sio poa.
Sawakwa namna simba wanavocheza wakiwa ugenini ni tofauti kabisa wanapokuwa nyumbani.
1.Kocha wenu hana mbinu za kucheza nje na anashindwa kujua anacheza na timu gani
2. Wachezaji hawajitambui wanapofungwa wanakata tamaa wanashindwa kujua kuwa mpira dkk 90
3 Phisical fitness na stamina ndogo sana waarabu wana nguvu sana msione wanajIdondosha ile ni janja ya kupoteza muda
4. Beki line ya simba wanaruhusu sana wapinzani kuingia kwenye kumi na nane.
5. Msemaji wenu anawadanganya sana na wachezaji wanajiona kuwa wao ndo klabu bora Afrika wenye uwezo wa kucheza na Man City huku uhalisia unajulikanakuwa Simba ni timu kubwa hapa TZ
KWA WAARABU KULE CAIRO TUNAWEZA KUONGEA MENGINE ZAIDI YA YALE YA CONGO.
Hao wakongo wenzako walichotufanyia sio poa.
uongo ulishajulikana tangu mechi ya kwanza maana alidai simba itapigwa mechi zoteMkuu, uongo au ukweli wa Shafii utajulikana baada ya mechi za makundi kuisha. Sasa hivi kila mtu ataongea kiushabiki zaidi.