Kwa maneno machache hebu tulinganishe Arsenal na CHADEMA

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,072
Kwa maneno machache hebu linganisha mwenendo wa taasisi hizi mbili, moja ya soka na nyingine ya kisiasa!
Arsenal inaongozwa na kocha asiyejua kusakata soka ingawa anamafanikio makubwa kama Mwl wa soka!
Chadema inaongozwa na DJ lkn anamafanikio makubwa ktk siasa!
Haya wadau wengine changieni!
 
Back
Top Bottom