S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 15,475 Reaction score 29,687 Jul 24, 2015 #1 I say wazungu wanapenda beach ni balaa! Huku kwetu tunatania. Hii ni picha ya hapa juzi 22/7/2015 ya hawa jamaa wakiwa beah huko Spain
I say wazungu wanapenda beach ni balaa! Huku kwetu tunatania. Hii ni picha ya hapa juzi 22/7/2015 ya hawa jamaa wakiwa beah huko Spain
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,802 Reaction score 4,910 Jul 24, 2015 #2 Mbona hata hapa kwetu ilikuwa hivi hivi coco beach siku ya iddy Picha iliwekwa hapa jf
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 1,996 Reaction score 618 Jul 24, 2015 #3 tatizo la beach za bongo....ni kutazamanz tuuuu wengine wanacha kilichowa[eleka pale wao ni kuwatazama wenzao tuuuuu
tatizo la beach za bongo....ni kutazamanz tuuuu wengine wanacha kilichowa[eleka pale wao ni kuwatazama wenzao tuuuuu
denoo49 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 6,113 Reaction score 6,953 Jul 24, 2015 #4 Hapa ndio mwisho koko hiyo idi ya juzi Attachments 1437765542828.jpg 44.6 KB · Views: 451