Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Hata nyerere alikuwa mdini na kanisa lake la katoliki. uhuru wa nchi ulitafutwa na waislamu lakini kwa hila za nyerere akawaingiza wa katoliki wenzake madarakani mfano john rupia na wenzake

Kumbe ni halali JK kuwa mdini kwasababu mwalimu alikuwa mdini?
 

Maaskofu hawahusiki na Tanzania kutokujiunga na OIC uliza serikali inayoongozwa na CCM na wabunge magamba. Wakati seriakli ikiikataa hoja ya Tanzania kujiunga na OIC bunge lilikuwalimejaa wabunge wa CCM. Waache maaskofu kabisa.................... Hizo takwimu ulizozitoa wenyewe walizitoa wapi? Zote hazina mashiko kwa vile nchi haijahusika.
 
Bado mimi nasimama pale pale kuwa kuongelea mambo ya dini humu JF tunapoteza dhana halisi ya mstakabali wa taifa letu. Kwangu mimi siamini kama idadi ya Wakristu au waislamu ina nafasi yoyote katika maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na hata kijamii katika taifa letu, umoja ,msikamano na uwajibikaji ndiyo msingi katika kuliendeleza taifa letu. Kuna hata ya kuanzisha mdahalo wa kitaifa ili kupata makundi yenye mitazamo ya kuongelea udini na yale yenye kutaka kuongelea mshikamno na umoja wa kitaifa. Mdahalo huu utawezesha maadui wa taifa hili kujulikana kirahisi. Hakuna sababu yoyote ya kuongelea udini jsmsni
 
waislam TAKBIIR!!TAKBIIR!!TAKBIIR waislam tuamke!!kwetu kufa kwa ajili ya dini ni ibaada!

Ukiambiwa umpiganie Ponda ama Tanzania utachaguwa kipi?jibu tafadhali ili nijuwe ninajadiliana na mtu wa aina gani.
 
CCM walihubiri udini kwenye baadh ya kampeni zao wakidhani itabaki kuwa utan/kisiasa kwa kuwasingizia baadh ya wapinzani kuhusika kubagua raia kidini, sasa imewageukia wao, hasa JK.
 
Ebu ngoja tuangalie udini wa JK kwenye kuteuwa watu kwenye nafasi za utendaji serikalini.

1. Wakuu wa Wilaya wapo 133, Waislam 42 Wakiristo 91

2. Mawaziri Waislam 9 Wakiristo 21

3. Manaibu Waziri Waislam 8 Wakiristo 17

4. Makatibu wa Wizara wengi ni Wakiristo, wakuu wa idara na taasisi za serikali wengi ni Wakiristo

5. Wizara zote za serikali wafanyakazi wengi ni Wakiristo...
 
Nimekupata,tatizo ni double standards,mnaihusisha chadema na katoliki,lakini hamuihusishi ccm.Ya ccm mabaya mnaona ni chadema,akiondoka huyo rais ndo mtaona ni ccm?double standards at its best!
 
Tatizo, udini ulianzishwa na Julius Kambarage Nyerere. Ndio alipanda mbegu ya kuligawa taifa leo hii. Huu ni wakati wa mavuno ya Walei katika serikali. Walei walio wekwa na Nyerere katika kila sehemu muhimu ya taifa.

Kikwete ameonyesha udhaifu mkubwa kama Raisi kwa kuruhusu mabilioni ya sensa yaharibike kwa sensa ambayo haijafanikiwa kwa asilimia 90%, pamaja na COMEDY unazoziona katika vyombo vya habari(DANGANYA TOTO), Kisa tu kuweka kipengele cha dini ambacho nchi zote ulimwenguni hukiweka na ndio maana halisi ya sensa, kujua watu na tofauti zao, katika nchi.

Sio siri, kikwete nguvu zake ni waislamu, lakini kwa hili, basi fanyeni mnavyo taka, hamtaona mkono waislamu wakimkinga tena. Kama alivyo kua mzee rukhsa, waislamu walipo muona anatafuta sifa za kijinga, wakamtoa kwenye mioyo yao na kumdharau. Basi tena, rukhsa imeisha sio kama zamani.
 
Nafasi zote nyeti za ulinzi na usalama?Kama kweli unaangalia nafasi.Kuna ambazo ni nyeti.Ila madhumuni ya mjadala huu si hayo,kwasababu waht matters ni anachofanya mkuu wa nchi.Tena kwa mujibu wa katiba ana madaraka makubwa sana ya kutuondolea haya matatizo.Yeye anachekelea tu.
 
Unajua mnadhani Viongozi wa Kanisa Katoliki ni kama wale watu wanashinda vibarazani na kunywa kahawa. Wakianza kukanusha kila tuhuma kama hizi zinapotolewa si watukuwa wamejiweke kwenye level yako? Wale ni watu wenye majukumu yao makubwa na hawana time na mambo ya kipumbavupumbavu kubishana na vigazeti.
 
Na mwanahalisi tungeachiwa wananchi tuamuwe wenyewe,ndo hapo double standards...

Kile ni chombo ambacho kipo kwa mujibu wa Sheria na kinapaswa kufuata taratibu wakati kinatekeleza majukumu yake na pale kinapokwenda kinyume na sheria kilichoapa kuzifuata ni lazima kichukuliwe hatua, ni tofauti na mtu binafsi kama PONDA ambaye ana uhuru kutoa maoni kama ambavyo watanzania wengine wanavyoweza kutoa maoni yao, na ndiyo maana hapa anayetajwa ni PONDA na siyo chommbo anachokiongoza.
 

Sawa tuko pamoja kaka.....

1. Mwenye dhamana ya kufungia magazeti ni nani????
2. Nani anatakiwa ku-monitor campaigns????
3. Hao wanaopakaziwa so far wamefanya nini kuonesha kwamba wao wanafanya kazi ipasavyo ila tatizo wanapakaziwa????
4. Wether alipita na kusema sina hakika ......ila hapa ni kila kitu....mwenye data amwage hapa jina la huo msikiti na mengineyo...pia haiwezi kuwa hii ilimpa urais kama data zinaonesha kuna dini zaidi ya moja then hata waislamu wote wangempigia still asingeweza kupata....assume wote wamejiandikisha na wamepiga kura unless it is more than 50% of the total popn
 
Vita ya dini huwa haiishi kwa mazungumzo bali kwa kuifia imani yako. haiihitaji kuwa na elimu kubwa kuona viongozi wetu wanatupeleka huko ama kwa kutojua au kwa maslahi yao.
 
Vipi kuhusu magazeti yenye udini na radio?usisahau kuwa la msingi ni uhuru wa habari vs maslahi ya taifa.Ndo maana nikalitaja mwanahalisi.
 

Thanx muu Ritz though tutauliza why should we even bother to know their religious inclination......lakini ni mwanzo mzuri kujua hii habari quantitatively
 
Mwenye dhamana hiyo ni serikali ya JK, and the bucks stops with him.Kuhusu hayo maneno,nimesikia humu members wakisema,kila mtu anafahamu kuwa udini ulitumika kwenye kampeni yake ya urais na bado unatumika kwenye kuendesha nchi.Kama yamemshinda aachie ngazi na si kutuletea machafuko ya kidini.Watanzania ni kama ndugu,na adui yetu alikuwa na bado inatakiwa awe ccm na mafisadi wake bila kujali ni wa dini gani.Mbinu hii ya udini ni ya mafisadi wa ccm ili kutugawa wasiondolewe madarakani.
 

busara ya jk ni hii ya kusema anawajuwa wa madawa ya kulevya na mpaka leo hajatuambia au ni hii watu wanaiba halafu anawapa kazi nyingine au ni ya kukaa kimya kwenye mambo ya msingi asiseeme lolote tu ilimradi litapita au ni ipi...ukiwa baba huna maamuzi nyumba itatetereka kila mtu ataamua lake kwa vile nyumba haina kiongozi ...nakuusia ukiwa baba halafu huna msimamamo iko siku mkeo atakuletea mwanaume mwingine alale nae kwenye kitanda chako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…