Kwa mama watoto wangu

Kwa mama watoto wangu

boy mzuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
287
Reaction score
436
Dhahili huleta udhaifu wa moyo pamoja na roho , lakini mimi nafarijika kuwa wewe unaweza kuiponya roho yangu inayonipeleka puta.

Mpenzi" mapenzi yanapokuwepo ndipo hupatikana mahaba na hasa wakutanapo mtu na mpenzi wake.

Nikikumbuka urembo wako nasononeka sana , ni uzuri wako na upole wako ndio vilionilidhisha moyoni mwangu" Sura yako tulivu kama mwezi mwangavu wanijengea wivu kwani sina uvumilivu na hasa ukizingatia penzi ni kikohozi , So kuficha siwezi na huu ndio ukweli wangu kwako.... Nakupenda sana el.......nataraji jibu utakalonipa litanifanya nijione mkubwa sana katika dunia hii so pls naomba usiniangushe el Wang..

Huu ulikuwa ni ujumbe wa barua nilipomtumia enzi hizo mpenzi wang ambaye kwa sasa ni mke wang mama Lizy..... Kwa ujumbe huu wala hakuchomoa na tukadumu katika mahusiano kwa miaka sita na badae kuja kufunga ndoa na kujaliwa mtoto ....

Kama kuna wenzangu humu nao waliwapata wenza wao kwa njia kama yangu ya barua tunaweza kushare pia ..... Wenu Boy mzuri
 
Kwahiyo mtoto wako akiulizwa baba yako anaitwa nani atajibu ''Boy mzuri''(joke)....
 
huyo ndo mkeo au??? mwanaume unawekaje picha ya demu kwenye avata yako.......hebu kuwa wa kiume mkuu....
 
Usishangae mkuu kwani hata mimi ntakushangaa kwa kumuweka farasi katika avatar yako ... Swali ntakalojiuliza kwa haraka×2 Hivi huyu ni farasi au binadamu ...so tusichukuliane poa

Tatizo sio kuchukulian poa tatizo kwa nn ujiite boy mzuri,..that's very gay my friend,..is it not!?
 
Kuweka avatar ya picha ya kike katika fake ID wala hakunifanyi nisiwe mwanaume kamili , uanaume wangu utabaki pale pale
"name boy mzuri" ----avata picha ya demu asiye na sitara.........bado hujanielewa wewe......vice versa
 
Back
Top Bottom