The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,401
- 3,641
Huyu ni mkuu wa mkoa kijana anaejiamini na anajituma sana ktk kazi zake amewzesha viongozi wa ukawa kumezwa kabisa. Ni mh mwita pekee ndo angalau anasikika wengine wako hoi,huyu anafaa sana kua rais wa tanzania wa awamu ya 6.