Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,021
- 2,296
- Thread starter
- #661
Hapa huwaoni wakichangiia ila ulichosema ni ukweli mtu sekta hii imeficha mengi na sijui why serikali inashi dwa kuchukua kodi yake hapa inahangaika na magari tu.
usijali mkuu tumeshajisajili na ofisi tunayo! karibu Sinza kwa Remi ulizia IMMY Brokers
tuko karibu kabisa na barabara ya shekilango road dakika 3 tu umefika