Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
3,677
Points
2,000
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
3,677 2,000
TMPDOODLE1495634587583.jpg Kama unahitaji nyumba maeneo hayo ya chumba au nyumba ya kuanzia chumba na sebule au kuanzia vyumba viwili na kuendelea usisite kunitafuta, maeneo ni hayo ya Mwenge, Kinondoni, Sinza, Kijitonyama na Mbezi Tangibovu mpaka Makonde na Makongo juu, Tabata, Tegeta, Bunju, wazo,

Pia Shekilango, Urafiki na Ubungo maziwa zipo, Baruti, kimara, temboni, Mbezi mwisho goba wote karibuni

Chumba kimoja moja kipo, chumba na sebule, master, nyumba nzima zipo karibuni.

Namba ni 0738656613 au 0684448888 (hii ipo whatsapp). Fremu za biashara zipo pia.

TUSOME HUU UJUMBE

Habari wana jamvi!

Nimeona leo kulizungumzia japo kwa ufupi kuhusu swala potofu juu ya madalali wa nyumba za kupanga, kumekua na malalamiko mengi kuhusu madalali wa nyumba/vyumba kupandisha bei halisi ya nyumba au chumba ili kupata cha juu, niwaambie tu dalali yoyote wa nyumba ya kupanga hahusiki kabisa kwenye bei ya pango, dalali wa kupanga si kama wa kiwanja, nyumba ya kuuza au magari nk. Dalali wa nyumba yakupanga anachoangalia ni mteja kuingia apate ile ya mwezi mmoja kulingana na bei ya nyumba kwa mwezi, wakati mwingine dalali anahusika kumshawishi mwenye nyumba ili ampunguzie mteja kama mteja kafikia kiwango flani, na wakati mwingine anamwambia mwenye nyumba kwa bei yako nyumba itaka sana ni heri upunguze, chukulia mfano nyumba ni ya 300k mteja ana 280k mimi ninachoangalia ni mteja kupanga ili nipate ile ya mwezi, hapo lazima nitaungana na mteja kumwambia mwenye nyumba hali ni mbaya mpunguzie mteja, kwaniyo nyumba ya 300k hata siku moja dalali hawezi kukuambia ni ya 400k hilo sahau, Dalali anatamani nyumba ya 300k mwenye nyumba ashushe 200k ili apate wateja haraka, kumbuka madalali wako wengi, kama ni mteja wa uhakika nisipomshawishi bosi apunguze mteja alipie, badae dalali mwingine akileta nakosa hata ile, kwahiyo swala la kwamba dalali anahusika kwenye swala la kupanga bei halipo, naamini wenye nyumba tunakibaliana na hili na madalali pia,

Wengi wamekua na kawaida sana ya kuwatukana na kuwaponda madalali ila kumbuka wengi wamekua msaada kwa watu kupata nyumba, kama hutaki kuwatumia madalali basi nyanyuka kwenye kiti chako ofisini hapo kazunguke mtaa kwa mtaa kutafuta nyumba ambayo ipo wazi upange,

Kumbuka nakubaliana sana na wazo kua ni lazima madalali wasajiliwe ili kufanya kazi kiufanisi na weledi, na pia kutafuta mfumo mzuri ambao hautaleta vikwazo kwa dalali, mpangaji na mwenye nyumba, kwahiyo nakubaliana kabisa na wazo la kuunda vyama vya madalali na kusajiliwa!

Pia nakubaliana na kuwapa pole waliosumbuliwa na madalali, kumbuka sijakataa kama ni kweli wapo matapeli, wazenguaji, pia waswahili, na ni kweli inasikitisha pale dalali anapompamba mteja kua nyumba kali ipo wahiii itaondoka, mteja akija anakuta banda la kuku, hii ni kwasababu wengi hawajaelewa kua wakifanya hii kazi kwa weledi ni manufaa kwao, wengi wamekua wanaangalia tu pesa ya hapa na pale ya kula na si kuboresha kipato!
Kumbuka si wote binadam wanafanyana, kila kitu kina changamoto zake, kikubwa ni kupunguza changamoto!
 

Attachments:

Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
3,677
Points
2,000
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
3,677 2,000
VIWANJA VINAUZWA GOBA KULANGWA WAHI UJIPATIE KIWANJA CHAKO

🔽Viwanja vimepimwa na vina hati vipo tambarare
Viwanja vinaanzia square meter 388,400,500,600 na kuendelea hadi 3000
🔽Mita 200 kutoka lami
🔽Viwanja vipo vingi na bei ni sh 25,000 kwa square meter
400sqm= 10,000,000tsh
500sqm= 12,500,000tsh
600sqm= 15,000,000tsh
700sqm= 17,500,000tsh
Kuona ni Siku yoyote
 
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
3,677
Points
2,000
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
3,677 2,000
#145
*JIPATIE HUDUMA BORA*
ZA VIWANJA NA MASHAMBA-MADOGO NA MAKUBWA

*Kiwanja Africana*
1:qmt 1500
Bei milion 120
Umbali kilomita 1:5

*Shamba Ruvu Acre 12*
Shamba la kumwagilia linabwawa kubwa mita 100 toka mto mkubwa
Bei milion 10 tu
Linafaa kwa kilimo cha kumwagili
Umbali kilomita 7 tambalale picha inbox

*Shamba Acre 100 kiwangwa*
Umbali kilomita 7
Bei shilingi 400,000 kwa acre
Unaweza kupata acre 10, 5 zote nk

1:Luguruni kushoto kilomita 3
Ukubwa-20×40 Milion 13 tu
2:20x20=milion 6:5
Plot qmt 4000 acre 1: imepakana na hospital ya mlogazila
Bei milion 65

Luguruni eneo la kujenga kiwanda mita 125:5 Morogoro road
toka ofisi ya manisipaa ya mpya ya inapojengwa
Ya ubungo


*MAENEO YA KUJENGA SHERI*
*Kinyerezi -mbezi*

1lot no 1:qmt 4,000
Bei milion 200
2lot 2:qmt 5,000
Bei milion 400

*Morogoro road*
1:Makondeko qmt 4000
Bei milion 300

1:Kibamba
qmt- 8000
Bei milion 350 acre 2
2:qmt 8000 acre 2
Milion 350

*KIBAHA PWANI*
1:Kibaha kabla ya mail moja 70×70=au qmt -4000
Bei milion 100

2:Misugusugu acre 4
Sawa na qmt 16000
Bei milion 300tu
Maeneo yote full docoment

***********************

Unahitaji kiwanja kuazia milion 4, nakuendelea nipigie Epka usumbufu
Unapata viwanja luguruni kibamba hospital kilomita 3 nakuendelea

*Mpya viwanja vimepimwa karibuni sana kilomita 2*
Kibamba-luguruni au hospital Morogoro road
Huduma mhimu zote zipo maji pia vimepimwa

1:qmt 931=milioni 14
2:qmt 1685 milion 26
3:qmt 1850 milion 29
4:qmt 3420 milioni 52
**********************
1:Eneo linauzwa korogwe kimara
Ukubwa qmt 3060
Bei milion 300
Umbali mita 300 kutoka Morogoro road
************************
Eneo kubwa ruvu acre 10 zinauzwa bei yakutupwa ruvu ya mlanandi eneo lina acre 12 eneo lakufugia lina bwawa acre 9 zote zakumwagili acre 3 zipo juu
Bei milion 12
**********************
2:Acre 50 unapita kiwangwa kidogo kama unaelekea msata barabarani kabisa zinauzwa kwenye lami limeaza kabisa acre milion 4 zipo acre 50 haya kwa wawekezaji karibu sana
Unaweza kupata 10,20 nk

******************
Plot inauzwa mbweni Kiharaka ukivuka mto full docoment
qmt 1432
Bei milion 55
*************************
1:Shamba kiwangwa bago acre 40 full docoment kilomita 2:5
Acre 1,shilingi 600,000
Mazungumzo yapo unaweza kununua acre 10 milion 6 zote mazungumzo yapo:
*************************
1:Eneo qmt 6000
Kigamboni ukuvuka daraja
Bei milion 500
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,324
Points
2,000
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,324 2,000
Hiyo ya Mbezi Africana ni barabara ya chini au Bagamoyo road. Exact location?
 
legend07

legend07

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Messages
322
Points
225
legend07

legend07

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2014
322 225
Mi nahitaj appartment maeneo ya coner mpka korogwe bajet 150,000/-
 
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
3,677
Points
2,000
Tunzo

Tunzo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
3,677 2,000
Mi nahitaj appartment maeneo ya coner mpka korogwe bajet 150,000/-
Budget hiyo haitakua karibu na barabara, meanz itakua kuanzia 1.5 Km zile sehemu za kwenda na bajaji, na itakua chumba master sebule na jiko
 
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
2,486
Points
2,000
Interest

Interest

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
2,486 2,000
Kwa yeyote itakayomhusu:

Natafuta apartment nzuri kuanzia maeneo ya Makumbusho kurudi mpaka huku Bamaga.

Bajeti Nina 250k.

Nitapata?
 

Forum statistics

Threads 1,326,837
Members 509,593
Posts 32,236,901
Top