Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

nahitaji nymba ya vyumba viwili,sebule,jiko ,dinning,choo cha public bajeti yangu ni 250,000
eneo kuanznia mwenge,magomeni,kinondoni,ubungo,makongo juu,tabata.
nyumba ijitegemee umeme,maji yawepo
 
Mkuu kama mtu yupo serious anahitaji nyumba atanicheki nyumba zipo nyingi na vyumba vipo vingi hata nikisema napost kila nyumba hapa haina maana na mfano naweka picha hapa then jioni inachukuliwa kwesho mteja anakuja namuonyesha nyingine unadhani itakuaje? Naamini wakuu niliowapatia nyumba hapa au walionitafuta wataleta ushuhuda.. I just need serious ones, mtu atakaechangia kwa kuponda na kaona namba najua tu sio muhitaji, By the way I have 1 room in my place,here at mwenge near TRA only 90,000/month for 1year hiki hakina dalali mimi ndo faza house mtu akikipenda poa ila nikikupeleka vingine lazima unipe udalali
What ? Yani MTU atoe kodi ya mwaka mzima.means akupe milioni moja na elfu themanini KWA chumba kimoja? Mwenge? Are u sure ur not sick? Wenzako siku hizi wanachukua kodi ya miezi mitatu mitatu wewe bado upo kwenye tongotongo za kodi ya mwaka mmoja?

No wonder tangu uanze kutangaza hicho chumba mwaka unakaribia no mteja
 
Acha kukurupuka mkuu, hata sielewe umetokea wapi! na acha kulia lia kama huna pesa unasema, labda hiyo comment uliyoicopy hivi ni ya mwaka gani, hata hivyo kila mwenye nyumba ana namna yake ya kupangisha, kua na yako ndio upange namna ya kuchukua kodi hata ukitaka wapangaji wakae bure,

Na labda nikutaarifu tu, kwangu napakubali, nina wapangaji wana zaidi ya mitano kwangu, na hicho nilichokitangaza nina zaidi ya mwaka na nusu na zaidi na mpangaji hana mpango wa kuhama, mpangaji anatamani mwenzake ahame achukue vyumba viwili, na nina wapangaji wana vyumba viwili, sasa ww sijui hata unekurupuka toka wapi
 
nahitaji nymba ya vyumba viwili,sebule,jiko ,dinning,choo cha public bajeti yangu ni 250,000
eneo kuanznia mwenge,magomeni,kinondoni,ubungo,makongo juu,tabata.
nyumba ijitegemee umeme,maji yawepo

kwa hiyo budget labda tabata utapata ya kueleweka kidogo, tuchekiane
 
Nyumba ipo *Makumbusho*

•Sebule
•Jiko
•Chumba kimoja kikubwa cha kulala (hakina tiles)na choo chake (kina tiles)
•Sebule
•Jiko
•Luku independent
•Maji mnashare mita

*Nyumba ipo karibu na kituo cha bus cha Makumbusho *

*Kodi*
200k kwa mwezi kama utalipa miezi 6
180k kwa mwezi, kwa miezi 8
 
Back
Top Bottom