Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Ooh nimeona tu baadhi ya madaktari wa hospital Fulani wanavyohudumia watu wao vizuri .wanavyojali muda wao na kusamini muda wa wagonjwa wao hata chai anakunywa kwa muda mfupi akijua kuna watu wanahitaji huduma yake..apo ndo nilipotokea kuipenda na kusamini hii kada ndo ivo tu
kaka salama?Una hekima sana Mkuu.
I like this
^^
so unataka mchumba daktari badae awe mume mwema?...?
Kama tuko wote mkuu!
Na hiyo ndo main point ya mlete uzi!
Ni kwamba ANATAFUTA MCHUMBA DAKTARI