mimikapeople
Member
- Apr 28, 2015
- 27
- 34
Manesi nao vipi mkuu..
Kwa maana nyingine unamtafuta mchumba dokta?
asante dada tumeziskia sala zako, ila ungeanzia juu kidogo tujue kulikoni
Asante kwa sala zako dada, Daktari nimekusikia...
nawapenda sana madaktari hata nikisema niolewe mungu anipe doctor....
Kwingine kote sijaona ila hapa tu...
Naona mgonjwa wataka dawa itiwe kwenye kidonda weye eenh...